MILAMBO UNION KUZINDUA OFISI YA KISASA
Posted on: March 25th, 2024
Chama kikuu cha Ushirika Milambo kilicho na makao makuu yake Wilayani Urambo kinatarajia kuzindua ofisi yake ya kisasa hapo kesho Machi 26, 2024.
Akiongea na waandishi wa habari Mweny...