• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Tabora Vijijini
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

CDF MABEYO ASISITIZA USHIRIKANO KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA

Posted on: February 16th, 2021

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo amevitaka vyombo vya ulinzi wa usalama kuendeleza mshikamano na ushirikiano uliopo ambao umesaidia kujenga imani kubwa kwa wananchi na kuimarisha ulinzi wa Nchi. 

Alisema panapo kuwemo na mshikamano wananchi wanaona na wanakuwa na imani kubwa kwao na kuwaunga mkono.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali  Mabeyo alisema hayo jana alipofika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora akiwa ziarani mkoani humo.

Alisema katika hali iliyopo ya sasa ulimwenguni vyombo vya ulinzi na usalama vinatakiwa kuwa na ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na mtu yoyote toka ndani na nje mwenye nia mbaya.

“Adui wa sasa anaweza asijitokeze mmoja kwa mmoja , bali anaweza kuwa miongoni mwenu…hivyo ushirikiano wa vyombo vya ulinzi na usalama ni jambo muhimu katika kuendelea kudumisha amani na utulivu nchini”alisisitiza.

Jenerali Mabeyo aliwataka vyombo vya Ulinzi na Usalama waliopo katika ngazi za chini kuendelea kuimarisha ushirikiano kama wanavyofanya kwa ngazi ya Kitaifa.

Alisema kwa ngazi ya Taifa kila wakati wanashirikiana na wapo pamoja katika utekelezaji wa majukumu yao.

Aidha Jenerali  Mabeyo amewashukuru wananchi wa Tanzania kwa utulivu wa hali ya juu waliouonyesha wakati zoezi la uchaguzi Mkuu uliopita.

Alisema hali ilitokana imani kubwa ambayo wananchi wanayo kwa vyombo vyao vya ulinzi na usalama katika kulinda amani na usalama wa Nchi.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati alisema wameanzisha utaratibu wa kukutana kila mwisho mwezi kwa vyombo vote vya ulinzi na usalama mkoani humo kwa lengo la kujenga umoja.

Alisema kuwa katika kufakikisha hilo wanafanya mazoezi ya pamoja na kujadiliana ikiwa ni sehemu kuwa kitu kimoja.

Matangazo

  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Fomu ya Kujiunga Kidato cha kwanza, 2021 kwa shule za Mkoa wa Tabora December 16, 2020
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 November 23, 2020
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • EWURA YATOA MILIONI 9.9 KWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA TABORA ZITAKAZOTUMIKA KUTENGENEZA DAWATI 247

    February 23, 2021
  • CDF MABEYO ASISITIZA USHIRIKANO KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA

    February 16, 2021
  • MAKUNGU AELEZA FURSA LUKUKI ZA UWEKEZAJI MKOANI TABORA

    January 22, 2021
  • ISAWIMA YAKABIDHIWA KWA TAWA ILI KUDHIBITI UHARIBIFU

    January 25, 2021
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa