• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Tabora Vijijini
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

CGF MASUNGA AOMBA MAMLAKA YA MAJI KUJENGA KISIMA KILA MTAA ILI KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

Posted on: July 24th, 2020

JESHI la Zimamoto na Ukoaji nchini limeziomba Mamlaka zinazohusika na usambazaji Maji katika maeneo mbalimbali ya wananchi hapa nchini kuhakikisha wajenga visima mitaani ili kuliwezesha kupata maji kwa urahisi ya kukabiliana na majanga ya moto yanapotokea.

Kauli hiyo imetolewa na Kamshna Jenerali wa Jeshi na Uokoaji nchini (CGF) John Masunga wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani Tabora ya kukugua shughuli za Jeshi hilo.

Alisema visima vya maji vinapokuwa maeneo ya mbalimbali na wakati mwingine katika mazingira yasiyofikika na magari yanasababisha zoezi la kuzima moto unapotokea kuwa gumu.

Kamnishna Jenerali huyo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji aliongeza  kuwa katika kukabiliana na upungufu wa magari wameingia makubaliano na Shirika la Nyumbu ambalo ni la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) la kuwatengenezea magari ya kuzimia moto.

CGF Masunga alisema magari hayo yanatarajiwa kukamilika katika muda mfupi ujao na kuongeza kuwa yatakapokamilika watayasambaza kwenye mikoa mbalimbali ili yaweze kusaidia kuongeza vitendea kazi.

Aidha Kamnishna Jenerali huyo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji alitoa kwa jamii kutoa taarifa mapema kwa Jeshi hilo pindi wanakabiliwa na majanga ya moto, barabarani, majini na mengine ili waweze kupata msaada.

Katika hatua nyingine alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kulipatia Jeshi hilo shilingi Bilioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa magari ya Askari wa Jeshi hilo.

CGF alisema zoezi la ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi hilo umeanza na wameanzia mkoani Dodoma ambapo kumekuwepo na ongezeko kubwa la Askari kwa sababu ya kuhamia makao makuu ya nchi.

Aliongeza kwa upande wa makazi ya Askari wa Mikoani  amewaagiza Makamanda wa Mikoa yote kuhakikisha wanaongea na Halmashauri kwa ajili ya kupata viwanja vya ujenzi wa nyumba za makazi ya askari.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati alilishukuru Jeshi hilo Mkoani humo kwa juhudi zake za kukabiliana na majanga mbalimbali.

Alisema Ofisi yake itaendelea kushirikiana na Jeshi hilo katika kuhakikisha linazuia na kukabiliana na majanga yanapotokea

Matangazo

  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Fomu ya Kujiunga Kidato cha kwanza, 2021 kwa shule za Mkoa wa Tabora December 16, 2020
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 November 23, 2020
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MIFUKO 462 YA MBOLEA YA TUMBAKU YA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA MILAMBO ILIYOKUWA IMEPOTEA IMEPATIKANA

    December 30, 2020
  • RC AWATAKA WALIMU WAKUU KUJENGA UMOJA KWA WALIMU WALIOCHINI YAO

    December 30, 2020
  • POLISI WANASA WATUHUMIWA 683 MKOANI TABORA WA MAKOSA MBALIMBALI NDANI YA WIKI TATU

    December 30, 2020
  • RC ATOA SIKU 38 VETA KUKAMILISHA UJENZI WA CHUO CHA UYUI NA IGUNGA

    December 24, 2020
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa