• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Tabora Vijijini
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

EWURA YATOA MILIONI 9.9 KWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA TABORA ZITAKAZOTUMIKA KUTENGENEZA DAWATI 247

Posted on: February 23rd, 2021

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji(EWURA) imetoa kiasi cha shilingi milioni 9.9 kwa ajili ya utengenezaji wa madawati 247 katika Shule ya wasichana ya Tabora(Tabora Girls).

Fedha hizo zimekabidhiwa na Meneja wa Kanda ya Kati, Mhandisi Norbert Kahyoza kwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Tabora Yonaza Hammarskjod kwa niaba ya Shule ya Wasichana ya Tabora.

Alisema sehemu kubwa ya shughuli za EWURA zinaambatana na masuala ya sayansi na ndio maana wakaamua kuunga mkono Shule ya Sekondari ya wasicha Tabora kwa kutambua wapo wanafunzi wengi wanasomo masomo ya sayansi.

Mhandisi Kahyoza alisema hatua hiyo inalenga kuwahamasisha wanafunzi kupenda masomo ya sayansi na kuwa mazingira ya kujifunzia na kusoma.

Aidha Meneja huyo wa Kanda aliutaka uongozi wa Shule ya Wasichana kuhakikisha wanaharakisha kutengeneza madawati ili fedha hizo zisije zikatumika kwa shughuli nyingine pindi ikitokea dharura.

Afisa Elimu Vifaa na Takwimu wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Halima Sangali alisema fedha walizopatia Shule ya Wasichana ya Tabora zitawasidia kupunguza upungufu wa dawati 349  hadi kubaki na upungufu wa dawati 102.

Alisema watatengeneza dawati 247 kwa gharama ya kila mmoja shilingi 40,000/= na kuongeza kuwa watajitahidi kufanyakazi haraka ili wanafunzi waanze kunufaika na mchango wa EWURA.

Kwa upande wa Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana Tabora ambaye pia ni Mwanafunzi wa Kidato cha Tano  masomo ya Fikizia, Kemia na Baolojia (PCB) Nice Timanywa aliishukuru EWURA kwa msaada huo ambao umewasaidia kupunguza tatizo la uhaba wa dawati.

Alisema upungufu wa dawati ulisababisha baadhi ya wanafunzi kupata matatizo ya mgongo na wengine kushindwa kufanya vizuri kutokana na mazingira ya ukaaji darasani.

Nice alisema msaada waliopata ni deni kubwa kwao ambalo wanapaswa kulilipa kwa kuongeza ufaulu ili EWURA watakaoona matokeo waone hajakosea kuwasaidia.

 

Matangazo

  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Fomu ya Kujiunga Kidato cha kwanza, 2021 kwa shule za Mkoa wa Tabora December 16, 2020
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 November 23, 2020
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • EWURA YATOA MILIONI 9.9 KWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA TABORA ZITAKAZOTUMIKA KUTENGENEZA DAWATI 247

    February 23, 2021
  • CDF MABEYO ASISITIZA USHIRIKANO KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA

    February 16, 2021
  • MAKUNGU AELEZA FURSA LUKUKI ZA UWEKEZAJI MKOANI TABORA

    January 22, 2021
  • ISAWIMA YAKABIDHIWA KWA TAWA ILI KUDHIBITI UHARIBIFU

    January 25, 2021
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa