• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

HOSPITALI YA WILAYA YA UYUI YAFIKISHA HUDUMA KWA WAGONJWA 330 TANGU ILIPOANZA

Posted on: June 24th, 2020

JUMLA ya wagonjwa 330 wa nje wamepata huduma ya matibabu katika Hospitali ya Wilaya  ya Uyui tangu ilipoanza kutoa huduma hizo mwanzoani mwa mwezi huu.

Mganga Mkuu wa Wilaya(DMO) ya Uyui Dkt.Wilfred Rwechungura alisema idadi inahusu matibabu ya magonjwa mbalimbali ya wagojwa wa nje.

Dkt. Rwechungura alisema kwa wale wanahitaji matibabu zaidi ndio wanapa rufaa kwenda kupata huduma zaidi katika Hospitali nyingine.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tabora (Uyui) Hemed Magaro alisema walianza kutoa huduma hizo tangu walipoagizwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Sereikali za Mitaa.

Alisema ili kuanza utoaji huduma walihamisha baadhi ya  Madaktari na Wauguzi kutoka maeneo mengine ili waweze kutoa huduma za matatibu katika Hopsitali hiyo ya Wilaya.

Mkazi wa Ilalasimba wilayani humo Lucia Kulwa aliishukuru Serikali kwa kuwasogezea huduma karibu yao.

Alisema hatua hiyo imewasaidia kuondokana na adha ya kusafiri umbali mrefu kufuata matibabu katika Hopsiali ya Ndala iliyopo wilayani Nzega na wengine walisafiri hadi Manispaa ya Tabora kwenda kutibiwa katika Hospitali ya St. Anne iliyopo Ipuli na wengeni katika Hospitali ya Rufaa Kitete.

Naye Mkazi wa Isikizya Halima Swed alisema wanapata huduma nzuri kutoka kwa madkatari na wauguzi tangu ilipofunguliwa tarehe 8 Mwezi huu.

Aliiomba Serikali kuisaidia vifaa ili huduma za wagonjwa wa kulazwa na upusuaji ziweze kufanyika Hopsitalini hapo badala ya kwenda Kitete na Ndala ili kupata huduma hizo.

“Tunaishukuru sana Serikali ya Rais Magufuli kwa kutuona wakazi wa Uyui na kutujengea Hospitali ya Wilaya …tunawaomba watuletee vitanda vya wagonjwa na vifaa vingine ili kama mtu anatakiwa kulazwa alazwe hapa hapa badala ya kwenda Upuge au Ndala ili kupunguza gharama za wanaomhudumia mgonjwa” alisema.

Hospitali ya Wilaya ya Uyui ina jumla ya Madkatari watano na Wauguzi watatu ambao ndio wanasaidia utoaji wa huduma kwa wagonjwa wa nje.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TABORA: MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI YA NCHI

    June 26, 2025
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YAENDESHA MAFUNZO MAALUM YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA TABORA

    June 23, 2025
  • SERIKALI YAJIPANGA KUIMARISHA HUDUMA ZA UGONJWA WA SIKO SELI NCHINI.

    June 19, 2025
  • “TUSIRUHUSU KIWANGO CHA ADHABU KISICHO NA KIASI KWA MTOTO – MHE.TUKAI AONYA

    June 16, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa