• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Tabora Vijijini
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

POLISI WANASA WATUHUMIWA 683 MKOANI TABORA WA MAKOSA MBALIMBALI NDANI YA WIKI TATU

Posted on: December 30th, 2020

Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata jumla ya watuhumiwa 683 wa makosa mbalimbali Mkoani Tabora katika Oporesheni ilichukua wiki tatu katika Wilaya zote za Mkoa huo.

Kauli hiyo imetolewa  na Mkuu wa Opereshemi Maalumu za Jeshi la Polisi Tanzania Kamishina Mwandamizi wa Jeshi wa Polisi (SACP) Mihayo Msikhela wakati akizungumza na waandishi wa Habari mjini Tabora.

Alisema miongoni mwa watuhumiwa hao ni 277 wamefikishwa Mahakamani na kuhukumiwa , watuhumiwa 255  bado kesi zao zinaendelea na watuhimiwa 42 wako katika uangalizi wa Polisi baada ya kutokuwepo kwa ushahidi madhubuti.

SACP Msikhela alisema baadhi ya vielelezo vilivyokamatwa ni silaha aina ya gobore moja, mapanga tisa, meno ya tembo mawili, pikipiki 34 , magodoro 10 na simu za mkononi nne.

Vitu vingine vilivyokutwa kwa watuhimiwa ni vyuma vya reli viwili,runinga za aina mbalimbali 19, mfano wa sare za majeshi mbalimbali ya ndani na nje na pombe haramu ya gongo lita 408.

Aliongeza kuwa miongoni mwa watuhumiwa hao wamefanikiwa kukamata raia wa nje kabila Mhutu akiwa na aina mbalimbali za mfano wa are za Polisi na majeshi mengine.

SACP Msikhela alisema mtuhumiwa huyo akikamatwa baada ya Askari Polisi kumuona amevaa sare ambazo zinafanana na za Polisi lakini mshono wake ni tofauti.

Alisema baada ya kupekua begi alililokuwa amebeba ndipo walikuta sare zinazotaka kufanana na zile za Jeshi la Wananchi na nyingine zinafana na za Majeshi ya Nje.

SACP Msikhela alisema katika operesheni hiyo ya kuanzia tarehe 7 mwezi huu wamebaini kuwa magenge yanayojihusisha ni uvunjaji , uporaji, na wizi ni vijana ambao umri wao ni kuanzia miaka 15 hadi 21.

Alisisitiza Jeshi la Polisi litaendelea kufanya opresheni na misako ya mara kwa mara kwa kushirikiana na raia wema ili kukomesha uhalifu mkoani Tabora.

Matangazo

  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Fomu ya Kujiunga Kidato cha kwanza, 2021 kwa shule za Mkoa wa Tabora December 16, 2020
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 November 23, 2020
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MIFUKO 462 YA MBOLEA YA TUMBAKU YA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA MILAMBO ILIYOKUWA IMEPOTEA IMEPATIKANA

    December 30, 2020
  • RC AWATAKA WALIMU WAKUU KUJENGA UMOJA KWA WALIMU WALIOCHINI YAO

    December 30, 2020
  • POLISI WANASA WATUHUMIWA 683 MKOANI TABORA WA MAKOSA MBALIMBALI NDANI YA WIKI TATU

    December 30, 2020
  • RC ATOA SIKU 38 VETA KUKAMILISHA UJENZI WA CHUO CHA UYUI NA IGUNGA

    December 24, 2020
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa