• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA AAGIZA KUTENGWA MAENEO YA UWEKEZAJI WA KILIMO CHA KOROSHO

Posted on: October 8th, 2020

MKUU  wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati ameziagiza Halmashauri zote kutenga maeneo makubwa kwa ajili ya uwekezaji wa kilimo cha korosho.

Alitoa agizo hilo  wakati wa ziara yake ya kukagua shamba darasa la mkulima wa korosho katika Manispaa ya Tabora na alipokagua shamba la uzalishaji wa mbegu za korosho katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania Tawi la Tumbi.

Dkt. Sengati alisema Mkoa wa Tabora unalo eneo kubwa ni vema wakazi wake wakatumia fursa hiyo katika kulima korosho kwa wingi kwa ajili ya kuinua uchumi wa eneo hilo.

Alisema utafiti umeonyesha kuwa korosho katika Mkoa huo inaweza kuzaa mara mbili kwa mwaka ukilinganisha na maeneo mengine hapa nchini na hivyo kuwa chanzo kikubwa cha mapato kwa wananchi.

Dkt. Sengati alisema lengo la Mkoa ni kuongeza korosho kama zao la kimkakati kwa kulima kwa wingi ili liweze kupeleka mbele uchumi wa Mkoa ambao utawawezesha wakazi wengi kujenga nyumba bora, kula chakula kizuri na kupeleka watoto shule.

Katika hatua nyingine Mkuu huyo wa Mkoa ameagiza Maofisa Ugani na Kilimo kutoka Ofisini na kwenda kutoa elimu kwa wakulima ikiwemo wanaolima korosho juu ya kanuni za kilimo bora.

Alisema Maofisa hao wanatakiwa kutumia muda zaidi kutembelea wakulima  mashambani ili wakulima waweze kuzalisha mazao mengi ambayo yatawawezesha kuinua uchumi wao na mkoa kwa ujumla.

Dkt. Sengati alisema Serikali imewasomesha na kuajiri ili waweze kutoa elimu ya kilimo bora kwa wakulima kwa ajili ya kuleta mapinduzi makubwa katika uzalishaji wa mazao mbalimbali yakiwemo ya chakula na biashara na hivyo hawapaswi kuwa Ofisini wakati wakulima wakikabiliwa na matatizo mbalimbali yanayowarusha nyuma katika uzalishaji.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • TABORA: MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI YA NCHI

    June 26, 2025
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YAENDESHA MAFUNZO MAALUM YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA TABORA

    June 23, 2025
  • SERIKALI YAJIPANGA KUIMARISHA HUDUMA ZA UGONJWA WA SIKO SELI NCHINI.

    June 19, 2025
  • “TUSIRUHUSU KIWANGO CHA ADHABU KISICHO NA KIASI KWA MTOTO – MHE.TUKAI AONYA

    June 16, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa