• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Tabora Vijijini
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

TAMKO LA VIONGOZI WA DINI MKOA WA TABORA

Posted on: October 27th, 2020

TAMKO LA VIONGOZI WA DINI MKOA WA TABORA

Kutokanana na michango yetu wote tuliyoitoa sisi viongozi wa dini mkoa wa Tabora tunatoa matamko yafuatayo:-

 

1.      Watanzania  wote tuthamini Utanzania wetu kabla ya jambo lingine, tukizingatia kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi.

 

2.      Viongozi wa dini wa Mkoa wa Tabora kwa pamoja tunasema Amani ni muhimu sana katika nchi yetu, hivyo tudumishe Amani wakati huu wa kuelekea uchaguzi, tuache mihemko ya kisiasa.

 

3.      Tunapenda kuwaasa wazazi wote, tuwaeleze watoto wetu/vijana wetu wasishawishiwe kuandamana au kuvuruga Amani ya Nchi yetu.

 

4.      Amani inapovunjika wahanga ni ndugu zetu, watoto wetu, dada zetu, wazee wetu na wote wasiojiweza

 

5.      Amani ikitoweka hakuna jambo litakaloendelea kama vile shughuli za kiuchumi, kilimo, biashara na shughuli mbalimbali hata za kidini.

 

6.      Amani ikitoweka inapelekea uharibifu wa miundombinu kama vile barabara, reli n.k.

 

7.      Upigaji kura haufanywi kwa misingi ya kidini, ukabila, rangi, ukanda, maumbile ya mtu au hali yake.  Hivyo mwananchi yeyote anaweza kumchagua kiongozi yeyote bila kujali yaliyotajwa hapo juu.

 

8.      Katika zoezi zima la uchaguzi tunawasihi mamlaka husika tuzingatie haki, wajibu na uadilifu kwa wadau wote.

 

9.      Wagombea wote na Wapiga kura wawe tayari kupokea matokeo ya uchaguzi hata kama ni kinyume na matarajio yao na wasiporidhika wafuate taratibu za kisheria zilizowekwa.

 

10.   Viongozi wa dini tusitumie mimbali zetu  za mahubili kushabikia chama chochote.

 

11.   Viongozi wa dini Mkoa wa Tabora tunawaomba waumini wa dini zote tujitokeze kwa wingi kupiga kura siku ya tarehe 28 Oktoba, 2020 na baada ya kupiga kura turudi majumbani kwetu ili tusubiri matokeo.


Matangazo

  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali December 18, 2020
  • Fomu ya Kujiunga Kidato cha kwanza, 2021 kwa shule za Mkoa wa Tabora December 16, 2020
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 November 23, 2020
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • RC ATOA SIKU SABA KWA FAMILIA 10 AMBAZO ZIKO ENEO LA BONDE LA WEMBERE WILAYANI IGUNGA KUONDOKA

    April 20, 2021
  • TAKUKURU MKOA WA TABORA YAOKOA MILIONI 794.1 KWA MIEZI MITATU

    April 15, 2021
  • NAIBU WAZIRI WA UTALII ATOA UTARATIBU KWA WAVAMIZI WA HIFADHI YA ISAWIMA KUONDOA MAZAO YAO

    April 15, 2021
  • RC TABORA AZITAKA HALMASHAURI YA WILAYA KUTENGA SHILINGI 1,000 KWA AJILI YA LISHE

    April 15, 2021
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa