• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
      • Community development
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

WANANCHI WA MANISPAA YA TABORA WAIOMBA SERIKALI KUONGEZA WATUMISHI WA SEKTA YA AFYA

Posted on: March 11th, 2020

WAKAZI wa Manispaa ya Tabora wameiomba Serikali kuajiri watumishi wapya wa kada mbalimbali katika sekta ya afya ili kuboresha utoaji wa huduma katika Zahanati zilizopo katika maeneo mengi.

Wakazi hao wametoa ombi hilo jana kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora aggrey Mwanri wakati wa ukaguzi wa utekelezaji wa shughuli za Malipo kwa Ufanisi (RBF) kwenye Vituo na Zahanati mbali katika Manispaa hiyo.

Mkazi wa Kidongo Chekundu Kata ya Ng’ambo Fatuma Kazomba alimweleza Mkuu wa Mkoa kuwa pamoja na kuwa wanapata Wauuguzi wanawahudumia vizuri lakini wamekuwa wakitumia muda mwingi kupata huduma katika Zahanati yao ya Ng’ambo kutokana na uchache wa watumishi.

Alisema hali hiyo imefanya baadhi yao kuzidiwa wakiwa wanasubiri huduma na wengine kukimbilia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kitete.

Naye Leah Francis wa Kalunde alisema kuwa katika Zahanati yao wanae mtumishi mmoja ambaye ni Mganga Mfawidhi jambo linalofanya huduma kwenda polepole pindi kunapokuwepo na wagonjwa wengi.

Aliomba Serikali kuangalia uwezekano wa kuajiri watumishi wapya ili kuziba pengo lilipo.

Akijibu hoja hizo Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri aliiagiza uongozi wa Manispaa ya Tabora kuangalia sehemu ambayo ina watumishi wengi na kupeleka kwenye upungufu mkubwa wakati Serikali ikiendelea kuajiri.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA WA TABORA AONGOZA DUA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.

    October 24, 2025
  • TABORA YAENDELEA KUIMARISHA USIKILIZWAJI WA MASHAURI YA KESI KWA NJIA YA MTANDAO: MKUU WA MKOA AKABIDHI KOMPYUTA KWA JESHI LA MAGEREZA

    October 20, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZASOGEZWA KWA WANANCHI: MADAKTARI WABOBEZI 56 WAWASILI TABORA KUHUDUMIA WANANCHI

    September 29, 2025
  • MKOA WA TABORA WAONESHA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA ULINZI WA HAKI ZA MTOTO

    September 26, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice
  • Migration Tanzania

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa