Kilimo na Ufugaji huchangia asilimia 70 ya pato la Mkoa. Mazao makubwa ya chakula yanayolimwa ni mahindi, mpunga, mtama, muhogo, viazi vitamu, uwele na jamii ya mikunde. Mazao ya biashara ni tumbaku, pamba, alizeti, karanga na chikichi.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa