• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

Utalii

UTALII KATIKA MKOA WA TABORA

Mkoa wa Tabora tunavyo vivutio vya Utalii katika maneo ya Wanyamapori, kwenye Msitu wa Mazingira asilia, maeneo ya Historia na Mali Kale na katika Utamaduni, desturi na maisha ya watu.

1.    Vivutio vya Utalii katika maeneo ya Wanyamapori

  • Hifadhi za Taifa (National parks) mbili ambapo, katika hifadhi hizi utalii wa kuona wanyama, kupiga picha, kutembea kwa mguu kuona mandhari ya maeneo ya hifadhi, uoto, wanyama na viumbe mbalimbali unafanyika, hifadhi hizo za Taifa ni:-
  • Hifadhi ya Taifa Mto Ugalla inayopatikana maeneo ya Wilaya za Urambo na Kaliua.
  • Hifadhi ya Taifa Kigosi inayopatikana maeneo ya Wilaya ya Kaliua.
  • Mapori ya Akiba (Game Reserves) ya Wanyamapori watano, unapofanyika Utalii wa Uwandaji wa Kitalii, Kuweka Makambi ya Kitalii, kuona Wanyama, kuona Ufugaji Nyuki na Utalii wa kuvua samaki. Mapori hayo ni:-
  • Poli la Akiba Ugalla lipo maeneo ya Sikonge.
  • Poli la Akiba Wembele lipo Wilala ya Sikonge.
  • Poli la Akiba Luganzo Tongwe lipo Wilaya ya Kaliua.
  • Poli la Akiba Igombe lipo Wilaya ya Kaliua.
  • Poli la Akiba Inyonga lipo Wilaya ya Sikonge.
  • Hifadhi za Wanyamapori za Jumuiya ya Jamii(WMA) mbili unafanyika utalii wa Uwindaji wa Kitalii, kuweka makambi ya Kitalii, kuona wanyama, kuona ufugaji Nyuki na utalii wa kuvua Samaki.
  • Jumuiya ya Hifadhi ya wanyamapori Ipole iliyopo Wilaya ya Sikonge
  • Jumuiya ya Hifadhi ya wanyamapori Uyumbu iliyopo Wilaya ya Urambo.
  • Bustani za Wanyamapori (Zoo) mbili. Utalii wa kuona Wanyama, kupiga picha kutembea kuona Mandhari, na kuona ndege, Bustani hizo ni:-
  • Bustani ya Wanyamapori Tabora (Tabora Zoo) iliyopo Mtaa wa Kiyungi Kata ya Kitete Manispaa ya Tabora.
  • Bustani ya Wanyamapori Mezerk iliyopo Itaga Manispaa ya Tabora.

2.      Vivutio vya Utalii Katika Msitu wa Mazingira Asili.

 Unafanya Utalii wa Kutembea kuona mandhari ya mazingira asili yam situ,utalii wa ufugaji nyuki, wanyama, viumbe, kupiga picha, na kuweka makambi. Msitu huo ni:_

  • Msitu wa mazingira asilia wa Itulu hill uliopo Wilaya ya Sikonge.

3.     Vivutio vya Utalii katika maeneo ya Historian a mali kale.

  • Tembe la Makumbusho la Dkt. Livingstone lililopo mtaa wa kwihara Manispaa ya Tabora
  • Njia kuu ya Watumwa iliyopo Mtaa wa Utusini, kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora.
  • Jengo la Utawala na ngome ya Kijeshi ya Wajerumani lililopo Mtaa wa Boma kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora.
  • Shule ya Sekondari ya wavulana Tabora aliyosoma Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere. Iliyopo kata ya Kitete Manispaa ya Tabora.
  • Makaburi na Majengo ya Ukoo wa Mtemi Fundikira, ambapo jina Ikulu lilianzia, yaliyopo kata ya Itetemia Manispaa ya Tabora.
  • Gofu la Jengo ya Hospitali ya Kwanza ya Wajerumani Afrika Mashariki lililopo eneo la Chuo cha VETA Manispaa ya Tabora.
  • Kaburi la Mtemi Isike Mwanakiyungi lililopo Pangale Wilaya ya Sikonge.
  • Kaburi la Mtemi Mirambo lililopo Ulyankulu Wilaya ya Kaliua.

4.    Vivutio vya Utalii katika Utamaduni, Desturi na Maisha ya watu.

  • Michezo na ngoma wa Waswezi
  • Upikaji wa Vyakula na Vyakula vya Asili makabila ya Tabora (Wanyamwezi) mfano Utengenezaji wa Nsanza, Matobolwa n.k.

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA TABORA December 14, 2022
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • CCM TABORA WARIDHISHWA NA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM YA MWAKA 2020-2025

    March 20, 2023
  • UFUNGUZI WA KIKAO CHA TATHMINI YA MAENDELEO YA MKOA(RCC)

    February 21, 2023
  • UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA MABWAWA YA KUTIBU MAJITAKA

    February 22, 2023
  • KALIUA TABORA

    January 05, 2023
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa