• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI

A. SEKTA YA MIFUGO

1.0 Idadi ya mifugo mkoani

Mkoa wa Tabora una changia idadi kubwa ya mifugo nchini. Mkoa unakadiriwa kuwa na idadi ya mifugo kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapo chini:-

 

Jedwali Na.1(a)  Idadi ya Mifugo Mkoani Tabora

H/shauri
Ng’ombe Asili
Ng’ombe kisasa
Mbuzi asili
Mbuzi kisasa
Kondoo
Kuku asili
Kuku  kisasa mayai
Nzega DC
469,186
175
209,200
271
48,503
458,509
6,220
Nzega TC
79,295
615
34,232
603
6,968
56,698
11,377
Tabora MC
81,025
2,277
33,539
407
7,931
1,036,314
225,861
Igunga Dc
583,228
1,550
364,380
178
195,024
560,864
4,081
Sikonge DC
373,298
56
130,710
192
20,150
515,000
981
Urambo DC
128,085
213
53,232
26
10,572
19,293
2,123
Kaliua DC
564,836
104
91,771
0
17,441
227,708
7,154
Uyui DC
494,592
52
152,180
13
72,118
582,803
386
Jumla
2,773,545
5,042
1,069,244
1690
378,707
3,457,189
258,183

Chanzo: Halmashauri za wilaya, mji na Manispaa

Kasi ya kuongezeka kwa ngombe 1.6% kondoo na mbuzi 3.2% kwa mwaka.

 

Jedwali Na 1(b) Idadi ya mifugo  mingine

H/shauri
Bata
Nguruwe
Punda
Mbwa
Paka
Sungura
Kanga
Nzega DC
6,595
1,173
954
9,870
2,153
0
0
Nzega TC
1,315
1,939
219
1,105
121
0
0
Tabora MC
2,943
13,741
235
4,648
392
0
0
Igunga Dc
5,181
5,102
11,055
9,182
3,642
53
0
Sikonge DC
110,900
3,113
602
15,404
3,694
31
896
Urambo DC
873
1,496
88
1,211
511
87
538
Kaliua DC
2,984
4,601
377
6,210
3,770
0
1,028
Uyui DC
74,161
739
896
7,510
3,072
0
0
Jumla
204,952
31,904
14,426
55,140
17,355
171
2,462

Chanzo: Halmashauri za wilaya, mji na Manispaa

Hivyo uwekezaji unaweza ukafanyika katika uzalishaji wa

 

2.0: Umhimu wa sekta ya mifugo

Nichanzo cha mapato kwa Halmashauri 8 za Mkoa wa Tabora na Serikali Kuu;

Ni chanzo cha Malighafi viwandani (maziwa, vyakula vya mifugo, Nyama na Ngozi);

Chanzo cha ajira rasmi na ajira zisizo rasmi;

Ni chanzo cha mbolea za asili mashambani;

Ni chanzo cha wanyama kazi kwenye shughuli za kilimo na shughuli za kusafirisha mizigo (mazao); na

Ni chanzo cha vyakula vya binadamu

3.0:  Fursa zilizopo katika sekta ya mifugo

Uwepo wa mifugo mingi ambapo kwenye mnyororo wa thamani unazalisha malighafi zifuatazo:- nyama, maziwa, ngozi, mbolea, vyakula vya mifugo na pembe&kwato;

Uwepo wa ardhi ya kutosha ambayo ikifanyiwa mpango wa matumizi bora ya ardhi, Mkoa utafanya ufugaji wa kisasa na wenye tija;

Uwepo wa maji ya mvua naya ardhini; na

Uwepo wa watu ambao wako tayari kujishughulisha kiuchumi katika sekta ya mifugo.

Uwepo wa eneo lililotengwa la Luyembe lenye hekta 15,000 kwa ajili ya uanzishaji wa ranchi ya mifugo. Eneo hili lipo katika Kata ya Zugimulole katika Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua.

Uwepo wa eneo la ranchi ya Kisasiga lenye ukubwa wa hekta 42,000 ambalo lilikuwa ranchi ya mifugo.

B. SEKTA YA UVUVI

1.0: idadi ya mito na mabwawa

Katika Mkoa kuna jumla ya mito 11 na mabwawa 10 ambamo shughuli za uvuvi zinafanyika na jumla ya wavuvi 1,627 ndio wanaofanya shughuli za uvuvi katika vyanzo hivyo. Mabwawa, katika Mkoa ni Igombe na Kazima (Tabora), Mibono, Uluwa, Igigwa na Utyatya (Sikonge), Sagara (Kaliua), Loya (Uyui) na Mwanzugi na mbuga ya Wembere (Igunga). Shughuli za uvuvi hufanywa na wavuvi binafsi na kwenye vikundi vya ushirika.

Mkoa una jumla ya wafugaji 130 walio na jumla ya mabwawa 247 ya kufugia na pia kuna vikundi vinane (8) ambavyo vimeunda SACCOS na hivyo kuwa katika hali nzuri ya kupata mikopo na kujiendeleza zaidi

2.0: Kituo cha kuzalisha vifaranga wa samaki Wilaya ya  Igunga

Kituo cha Mwamapuli kazi yake ni kuzalisha vifaranga vya samaki na kuvisambaza kwa wafugaji yakiwemo mabwawa ya Serikali (bwawa la Igombe na bwawa la kazima yalipokea vifaranga elfu 70), mabwawa hayo yapo Halmashauri ya Manispaa ya Tabora. Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mabwawa ya Ulyanyama, Uluwa, Igumila na Igigwa yalipewa vifaranga vya samaki elfu 20 kutoka kituo cha Mwamapuli. 

3: Fursa zilizopo katika sekta ya uvuvi

Uwepo wa mito na mabwawa

Uwepo wa bonde la Wembere katika Halmashauri ya Wilaya ya Igunga na Uyui ambalo huifadhi maji mengi na kuwezesha shughuli kubwa za uvuvi kufanyika.

Kituo cha kuzalisha vifaranga wa samaki Wilaya ya  Igunga ambacho kinaweza kuzalisha vifaranga na kuvifuga kwa njia ya vizimba kwenye mabwa yaliyopo Mkoani Tabora.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • "SIKU YA WAUGUZI DUNIANI, RAS TABORA ASISITIZA MAADILI, USTAWI NA UWAJIBIKAJI."

    May 30, 2025
  • RAS TABORA AKUTANA NA ASKOFU MSAIDIZI WA JIMBO KUU LA TABORA,ASKOFU BUDUDU;ATOA PONGEZI NA SALAMU ZA SERIKALI

    May 29, 2025
  • DKT. MBOYA AFUNGUA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA TASAF AWAMU YA TATU, ATOA PONGEZI KWA UTEKELEZAJI MZURI

    May 29, 2025
  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa