Mkoa wa Tabora una jumla ya viwanda 1,296 vinavyojihusisha na usindikaji na uchakataji mazao ya kilimo, mifugo, Nyuki, Madini, Gesi, Nyuzi, Maji, Misitu n.k. Mkoa una viwanda vya saizi ya kati 7, vidogo 1,289 na hakuna kiwanda kikubwa.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa