• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

CCM TABORA WARIDHISHWA NA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM YA MWAKA 2020-2025

Posted on: March 20th, 2023

Mkuu wa Mkoa  wa Tabora Mh. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian awasilisha taaarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 Halmashauri kuu ya CCM(M) Tabora.

Pamoja na mambo mengine Mh. Mkuu wa Mkoa,alieleza kuwa kwa kipindi cha miaka miwili ya Mh. Dkt.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mkoa wa Tabora umeendelea kutekeleza ilani ya CCM kwa mafanikio makubwa sana katika sekta ya elimu, afya, kilimo miundombinu ,maji, bandari kavu na reli ya kisasa.

Mh Mkuu wa Mkoa, akifafanua ,alisema, katika sekta ya Elimu mkoa umepokea shilingi Bilioni 41.1 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya, madarasa sambamba na uboreshwaji  wa mazingira ya shule. Lakini pia uanzishwaji wa vyuo vya ufundi wilaya ya Uyui na Nzega . Na hivyo mkoa umefanikiwa kutoa nafasi ya watoto na vijana kupata elimu na ujuzi.

Na katika sekta ya Afya mkoa ulipata shilingi Bilioni 21.06, kwa ajili ya ujenzi wa hospitali za wilaya ,vituo vya afya . Zahanati pamoja na ununuzi na ukarabati wa vifaa tiba. Uboreshwaji  huo umewezesha mkoa kutoa huduma ya afya kwa uhakika na kupunguza vifo vya wamama wajawazito na watoto.

Kwa sekta ya maji mkoa ulipokea Bilioni 640 kwa ajili ya kutoa maji ziwa victoria hadi Tabora na kuufanya mkoa kufikia asilimia 62.4 huduma ya maji vijijini na asilimia 75.3 kwa mijini.

Aidha  kwenye Kilimo Mkoa ulipata  shilingi  Bilioni 24.79 zilizotumika kwenye miradi mbalimbali ya kilimo ikiwemo ujenzi wa mifumo ya kisasa ya umwagiliaji na utoaji wa ruzuku kwenye mbolea.

Upande wa barabara mkoa ulipokea shilingi Bilioni 359 ambazo zilitumika kujenga mtandao wa barabara wenye urefu wa Km 266.71. Sambamba na hilo uboreshwaji wa barabara vijijini na mijini.

Mkoa ulipokea Trilioni 4.406 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Makutupora-Tabora wenye urefu wa Km 368.

Aidha, Mkoa umefanikiwa kwenye sekta ya Umeme utunzaji wa mazingira , Mawasiliano, bandari kavu na uwezeshwaji wananchi kiuchumi. Alisema Mafanikio haya yanalenga kubadilisha maisha ya mwananchi mmoja mmoja wa Mkoa wa Tabora. Na ndiyo dhamira ya Serikali ya awamu ya sita.

 



Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BODI YA WADHAMINI MFUKO WA MISITU TANZANIA YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO TABORA.

    May 07, 2025
  • NAIBU WAZIRI MKUU AONGOZA HAFLA YA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KIWANDA CHA NGUZO ZA ZEGE TABORA.

    May 03, 2025
  • DKT. BITEKO AIPONGEZA TANESCO NA ETDCO KWA JUHUDI ZA KUBORESHA HUDUMA YA UMEME URAMBO

    May 02, 2025
  • SERIKALI IPO KAZINI KUBORESHA HAKI NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI, WAFANYAKAZI NI UTI WA MGONGO WA TAIFA – MHE. SAUDA MTONDOO,

    May 01, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa