• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

KALIUA TABORA

Posted on: January 5th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Batilda Buriani amewataka wakazi wa wilaya ya Kaliua kutunza mazingira hasa yale maeneo yenye vyanzo vya maji.

Akiongea na wananchi wa kata ya Mwongozo, Dkt. Batilda ameiomba TFS (W) Kaliua Kusimamia zoezi la upandaji miti sambamba na utolewaji wa elimu ya mazingira kwa wananchi.

Aidha, Dkt. Batilda amewataka watendaji wa Kata na vitongoji kusoma taarifa za miradi ya maendeleo kwa wananchi wao ili wananchi hao wafahamu kazi zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya Raisi Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Asisitiza wananchi wa kata hiyo na Tabora kwa ujumla juu ya suala la kuwaandikisha watoto wanaopaswa kujiunga na kidato cha kwanza Mwaka huu.

Awataka vijana kutambua fursa zilizopo mkoani Tabora, awashauri kuanzisha  viwanda vidogovidogo kwa kutumia Malighafi kutoka Tabora ambavyo vitaleta faida kwa jamii.

Akiambatana na kamati ya Ulinzi na Usalama (M) Tabora, nao walikuwa na haya ya kusema:

Mkurugenzi wa TAKUKURU (M)  Tabora Ndugu. Musa Chaula awataka  wananchi wa Tabora kuelewa kuwa majukumu ya chombo hicho sio tu kukamata bali pia linajukumu la kutoa elimu kwa Umma.

Awataka watumishi wa Umma mkoani Tabora kutumia vema fedha zinazotolewa na Serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Na pia alisisitiza mikakati mipya ya TAKUKURU katika kukabiliana na vitendo vya rushwa mkoani Tabora.

naye kaimu Kamishina wa Uhamiaji (M) Tabora Ndugu. Agustino Malembo amewataka wananchi wa Tabora kutoa taarifa za ndugu na jamaa ambao wanafika kwenye maeneo yao kwa lengo la kuepuka vitendo vya uhalifu pamoja na magonjwa ya kuambukizwa yanayoweza kuletwa na wahamiaji haramu hao.

Pia, Kaimu Mshauri wa Jeshi la Akiba (M) Tabora Mej. Method Nkangaza, amewashauri vijana kujiunga na mafunzo ya jeshi la Akiba ambalo limekuwa namafunzo mengi ambayo yamekuwa na mchango mkubwa katika kukuza uchumi. Na kwamba mafunzo hayo yamekuwa na msaada mkubwa sana kwa vijana katika kubuni na kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo hasa shughuli za ujasiriamali.

Naye Kamanda wa Polisi (M) Tabora RPC Richard Abwao, amewataka wenyeviti wa vijiji na vitongoji kushirikiana katika masuala ya Ulinzi na Usalama.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BODI YA WADHAMINI MFUKO WA MISITU TANZANIA YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO TABORA.

    May 07, 2025
  • NAIBU WAZIRI MKUU AONGOZA HAFLA YA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KIWANDA CHA NGUZO ZA ZEGE TABORA.

    May 03, 2025
  • DKT. BITEKO AIPONGEZA TANESCO NA ETDCO KWA JUHUDI ZA KUBORESHA HUDUMA YA UMEME URAMBO

    May 02, 2025
  • SERIKALI IPO KAZINI KUBORESHA HAKI NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI, WAFANYAKAZI NI UTI WA MGONGO WA TAIFA – MHE. SAUDA MTONDOO,

    May 01, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa