Leo Tarehe Septemba 14, 2023 Ndugu Abdallah Shaibu Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2023, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Nyumba ya watumishi, jengo la mionzi na jengo la kufulia katika kituo cha Afya Tutuo, wenye thamani ya shilingi milioni mia mbili na hamsini (250,000,000)
Mradi huu ni moja ya miradi sita (6) ambayo imezinduliwa hapa Wilayani Sikonge, na Mwenge wa Uhuru mwaka 2023.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa