Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2023, Ndugu Abdallah Shaibu ameridhia kuzimdua mradi wa Ukarabati wa Josho la Msuva wenye thamani ya shilingi Milioni 15 ambao utafaidisha wananchi Wafugaji wa Kijiji cha Msuva Wilayani Sikonge.
Mradi huu wa ukarabati wa Josho la Msuva ni sehemu ya kutimiza azma ya Serikali va Awamu ya Sita ya Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamunuri ya Muungano wa Tanzania ya kutoa huduma bora kwa wananchi wafugaji wa kijiji cha Msuva, na Tabora kwa Ujumla.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa