• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA AAGIZA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WALENGWA WA TASAF

Posted on: November 3rd, 2021

MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoa elimu ya Ujasiriamali kwa Walengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) chini  ya Mpango wa kunusuru kaya Maskini ili waweze kutumia fedha wanazopata kujiletea maendeleo.

Balozi Dkt. Batilda alitoa kauli hiyo leo wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli zinazotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) chini ya Mpango wa kunusuru kaya Maskini katika Manispaa ya Tabora.

Alisema Walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya Maskini wanatakiwa wapate elimu ya mbinu bora za ufugaji wa kuku ikiwemo namna ya kuwapa chanjo kwa ajili ya kuwakinga na magonjwa yanayowakabili na kuwafundisha juu ya ufugaji wa nyuki kupitia mizinga ya kisasa.

Balozi Dkt. Batilda alisema maeneo mengine ambayo wanapaswa kupewa elimu ni kuhusu uendeshaji wa biashara na uundaji wa vikundi kwa ajili ya uzalishaji mali.

Alisema hatua itawasaidia kufanyakazi kwa juhudi na kujiletea maendeleo hali itakayowafanya kuwachana fedha za TASAF na kutoa fursa kwa wahitaji wengine kupata fedha hizo.

“Mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan anapenda wananchi wake waendelee na maisha ya Watanzania yabadilike watoke walipo na kusonga mbele na kupata maendeleo ya kweli” alisema.

Aliwataka Maafisa Maendeleo ya Jamii hao kwenda kwa kuwafundisha jinsi ya kuibua miradi ambayo itawasaidia wenyewe.

Katika hatua Nyingine wakazi wa Ifucha wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuwafikisha kilio chao cha bei ya Mbolea kuwa juu kiasi kitachowafanya washindwe kulima.

Chiku Rashid alisema bei imepanda sana kutoka elfu 60 hadi laki moja jambo ambalo linaonekana ni mzigo kwao.

Said Haruna alisema kuwa udongo wa Tabora ni mchanga bila matumizi ya mbolea hakuna mavuno.

Balozi Dkt. Batilda alisema kilio chao atakifikisha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa