• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA AFUNGUA MAFUNZO YA MATUMIZI YA TAKWIMU YA SENSA WILAYANI SIKONGE

Posted on: February 10th, 2024

Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali imeendesha mafunzo ya usambazaji na matumizi ya matokeo ya sensa ya watu na makazi kwa viongozi na makundi mbali mbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwanambuya Sikonge.

Akifungua mafunzo hayo Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Dkt. Batilda Salha Burian amesema mafunzo hayo yanalenga kutoa mrejesho wa kazi iliyofanyika nchi nzima iliyoanza kwa zoezi la anuani za makazi na baadaye sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022. Matokeo ya Sensa na watu na makazi yameonesha kuwa Mkoa wa Tabora unashika nafasi ya tatu kitaifa kwa kuwa na idadi kubwa ya watu 3,391,679 wanaume wakiwa 1,661,171 na wanawake 1,730.508.

Na kwa upande wa matokeo ya idadi ya watu Kiwilaya, Sikonge ina jumla ya watu 335,686 ikiwa wanaume ni 165,309 na wanawake 170,377.

Aidha Mhe. Burian ametoa wito kuwa Taarifa za sensa ya watu na makazi zitumike kwa ajili ya kuleta maendeleo ya watu katika maeneo yao. "Lengo la mafunzo haya ni kuwajengea watu uwezo wa kutafsiri na kuchambua na kuyatumia matokeo ya sensa katika kupanga, kutekeleza na kufuatilia tathmini ya utekelezaji wa sera na mipango yetu

kwa muda mfupi,muda wa kati na muda mrefu" amesema Dkt. Burian.

Akimwakilisha Mtakwimu Mkuu wa Serikali Meneja Idara ya Mifumo ya Kijiografia Ofisi ya Takwimu Taifa Bw. Benedict Mugambi amesema Serikali imekamilisha kuandaa na kuzindua ripoti 11 za sensa ikiwa ni pamoja na matokeo ya mwanzo, ripoti hizi zimejikita katika mgawanyo wa idadi ya watu kwa maeneo ya kiutawala hadi ngazi ya kata au shehia ka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ripoti ya mgawanyo wa idadi ya watu kwa majimbo ya uchaguziTanzania bara na Visiwani.


Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa