• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC TABORA ASEMA WAKAZI WA URAMBO KUPATA MAJI KWA ASILIMI 95 IFIKAPO MWAKA 2025

Posted on: November 8th, 2021

MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda amesema Serikali imekusudia ifikapo mwaka 2025 wakazi wengi wa mjini Wilayani Urambo  wanapata maji safi na salama.

 Amesema kupitia mpango wa kutoa maji toka Ziwa Victoria Serikali itahakikisha wakazi wanaoishi mjini wanapata maji safi na salama kwa asilimia 95 na wanaoishi  vijijini kwa asilimia 85.

 Balozi Dkt, Batilda Buriani amesema hayo leo wakati akitoa salamu za Serikali kwenye ibada ya kumbukumbu ya miaka mitano ya marehemu Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta ilifanyika katika Kanisa la Moravian mjini Urambo.

 Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inaongoza na Mhe. Samia Suluhu Hassan imekusudia imekusudia  kupeleka maendeleo na kuwasogezea huduma muhimu karibu na wananchi.

 

Balozi Dkt, Batilda amesema Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo na Ustawi wa Tiafa  na Mapambano dhidi ya UVIKO 19 imetoa fedha nyingi kwa Mkoa wa Tabora kwa ajili ya maendeleo ya wananchi kupitia huduma mbalimbali ikiwemo elimu , afya , miundombinu na upatikanaji wa maji safi na salama.

 Amesema kupitia mpango huo Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 21.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya madarasa katika Shule za Sekondari na Msingi na sekta ya afya na bilioni 33 ya ujenzi wa miundombinnu yam aji kwa ajili kufikisha kwa wananchi.

 Balozi Dkt, Batilda amesema kupitia fedha hizo Serikali itapeleka maji kutoka Ziwa Victoria kwa wakazi wa Urambo na Kaliua.

 Mkuu huyo wa Mkoa wa Tabora amewashukuru Madaktari Bingwa ambao wamekwenda Wilayani Urambo kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali za kujitolea.

Matangazo

  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 May 06, 2022
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA WA TABORA MH. BALOZI DKT BATILDA S. BURIANI AFUNGUA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE NGAZI YA MKOA

    July 22, 2022
  • WATU WAPOTEZA MAISHA WILAYANI SIKONGE BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI

    November 19, 2021
  • RC TABORA ASEMA WAKAZI WA URAMBO KUPATA MAJI KWA ASILIMI 95 IFIKAPO MWAKA 2025

    November 08, 2021
  • RC TABORA AAGIZA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WALENGWA WA TASAF

    November 03, 2021
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa