• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

SERIKALI YATOA BILIONI 21.7 KWA MKOA WA TABORA ILI KUBORESHA MIUNDOMINU YA SEKTA YA ELIMU NA AFYA

Posted on: November 1st, 2021

SERIKALI imetoa kiasi cha shilingi bilioni 21.7 kwa Mkoa wa Tabora  kupitia Mpango wa Maendeleo ya Ustawi waTaifa na mapambano dhidi ya UVIKO 19 kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya elimu na afya.
Kati ya fedha hiizo shilingi bilioni 17 ni kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya elimu katika Shule za Sekondari na Viutuo Shikizi vya Shuleza Misingi.

Kauli hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani wakati akihutubia kikao cha robo ya kwanza cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui.

Alisema kati ya fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni 11.7 zitakwenda kujenga madarasa 585 katika Sekondari za Halmashauri zote tayari kwa ajili ya kupokea wanafunzi ambao watakuwa wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza hapo mwakani.

Balozi Dkt. Batilda alisema kiasi  kingine cha shilingi bilioni 5.3 zitatumika katika ujenzi wa madarasa 266 katika Vituo vya Shikizi vya Shule za Msingi.

Aliongeza kuwa kiasi milioni 160 zitatumika katika ujenzi wa mabweni kwa shule za watoto wenye mahitaji maalum.

Balozi Dkt. Batilda alisema shilingi milioni 550.9 ni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kunawa mikono, uvunaji wa maji ya mvua , kuchimba visima katika shule za Msingi na Sekondari 28.

“Kwa kweli ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan , sisi watu wa Tabora imetuheshimisha sana …kwa kipindi kifupi ya uongozi wa Mama Samia tumepata fedha nyingi kwa ajili ya uboreshaji wa upatikanaji wa huduma za afya , elimu, maji na barabara …tunasena Wabhezya sana Mama Samia Suluhu Hassan” alisisitiza.

Balozi Dkt. Batilda alisema kufuatia heshimiwa kubwa walioyopeta amesimamisha kwa muda safari za nje ya Mkoa kwa Watumishi wa umma katika kipindi cha utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa madarasa ya Sekondari na Shule Shikizi ili yakamilike kwa wakati.

Alisema watumishi hao wanatakiwa kwenda kwenye maeneo ya miradi ya ujenzi kwa ajili ya kuhakikisha wanasimamia ili imalizike kwa kabla ya Mwezi Desemba na kwa ubora uliokusudiwa.

Aidha Balozi Dkt. Batilda alisema Serikali haitamuonea huruma mtu yoyote atakayetumia fedha hizo kinyume cha malengo yake.

Matangazo

  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 May 06, 2022
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • DALILI ZA UGONJWA WA CORONA March 18, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATU WAPOTEZA MAISHA WILAYANI SIKONGE BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI

    November 19, 2021
  • RC TABORA ASEMA WAKAZI WA URAMBO KUPATA MAJI KWA ASILIMI 95 IFIKAPO MWAKA 2025

    November 08, 2021
  • RC TABORA AAGIZA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WALENGWA WA TASAF

    November 03, 2021
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UYUI YATUMA BARUA YA PONGEZI KWA RAIS SAMIA

    November 01, 2021
  • Angalia zote

Video

JPM BANDARINI
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa