• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

SERIKALI YAZINDUA ZOEZI LA ULIPAJI WA FIDIA KWA WANANACHI WANAOPITIWA NA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA

Posted on: July 7th, 2021

Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 28.6 kwa ajili ya kuanza rasmi zoezi la kulipa fidia kwa wananchi wote ambao wamepisha ujenzi wa miundombinu ya bomba la mafuta ghafla la Afrika Mashariki,

Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Nishati   Dkt Medard Kalemani kwenye uzinduzi wa wa awali wa zoezi la ulipwaji fidia kwa wananchi uliofanyika Kitaifa katika Kijiji cha Sojo wilayani Nzega Mkoani Tabora.

Alisema kwa upande wa Tanzania bomba hilo litatoka Kyaka mkoani Kagera hadi Chongoleni Mkoani Tanga.

Dkt Kalemani aliwahikisha wananchi wote ambao  wamepisha ujenzi wa miundombinu ya bomba la mafuta ghafla la Afrika Mashariki watalipwa haki zao mapema kwa mujibu wa tathimini iliyofanyika.

Aidha Waziri huyo aliwataka Wakandarasi wanaojenga mradi kuanza kazi mara moja baada ya zoezi la fidia kuanza ili kazi hiyo iweze kukamilika kwa wakati na kuleta manufaa kwa wananchi.

Kwa upande wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani aliwataka wakazi wote wa Mkoa huo ambao wameanza kupata fedha hizo kuzitumika kwa malengo yatakayowasaidia kupiga hatua kimaendeleo.

Alisema wakituma fedha hizo kinyume kwa malengo ya kujipatia maendeleo mara baada ya kuisha wasitegemee kutakuwa na fedha nyingine.

Balozi Dkt.Batilda aliongeza wakazi wa Tabora wakatumia mradi huo kama fursa mbalimbali kuwapatia maendeleo kupitia kuzalisha chakula cha kutosha kwa ajili ya kuuza kwa wahandisi na wataalamu watakaotumika kujenga bomba hilo.

Aidha aliwataka wakazi wa maeneo ya mradi wanahikisha ulinzi wa vifaa vya utekelezaji wa mradi huo.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania James Mataragio alisema  zoezi la ulipaji fidia lipo tayari kuanza kwa maeneo yote 12 ambapo timu za Wawakilishi wa Serikali, Wawakilishi wa Kampuni ya EACOP,Kampuni ya Uthamini (White Night) na Kampuni ya Ushirikishaji na Kusaidia Jamii (JSB) zipo katika baadhi ya Mikoa yenye maeneo ya kipaumbele ya mradi.

Alisema timu hizo zinafanya kazi za uhakiki wa  wananchi waliopisha mradi,utoaji wa Elimu kwa wananchi waliopisha mradi,uhakiki wa Maeneo yatakayotumika kwa ujenzi wa makazi mbadala na utiaji  wa saini wa mikataba ya fidia

Mataragio alisema mara baada ya kukamilika kwa taratibu jumla ya wananchi 391  waliopisha mradi watalipwa fidia  

Aidha Mataragio alisema kwa wale ambao watafidiwa nyumba watakuwa tayari kuhamia kwenye makazi yao mapya kati ya miezi 6 hadi 12 kuanzia siku watakayolipwa fidia.

Alisema katika kipindi hicho cha kusibiria wananchi wanaopisha mradi watakuwa wamepangishiwa nyumba za kuishi kwa muda  na Kampuni ya EACOP pamoja na kupata misaada ya ki-binadamu  ikijumuisha chakula, mbegu za kisasa za Mazao na Mifugo, elimu na mafunzo mbalimbali yakiwemo ya Ujasiriamali, kilimo na ufugaji.

Kwa upande wa Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika mashariki (EACOP) Martin Tiffen alisema watakahakikisha kaya zote zilizoguswa na mchakato wa utwaaji ardhi zinalipwa stahiki zao kwa mujibu wa Sheria na taratibu zilizopo.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa