Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Oktoba 18, 2023 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake mkoani Tabora, akiwa Wilayani Nzega alikwenda kukagua na kisha kuweka jiwe la Msingi katika mradi wa Umwagiliaji wa Center Pivot unaosimamiwa na Wakala wa mbegu Tanzania (ASA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiambatana na viongozi wengine wa Kiserikali kuweka jiwe la msingi kwenye mradi mkubwa wa Umwagiliaji (Center Pivot) katika shamba la Mbegu la Taifa lililopo Wilayani Nzega.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya kina kutoka kwa Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bushe (Mb) mara baada ya kuweka jiwe la Msingi kwenye mradi wa Umwagiliaji (Center Pivot) uliopo Wilayani Nzega.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kujionea mradi mkubwa wa Umwagiliaji (Center Pivot) katika shamba la mbegu, uliopo Wilayani Nzega.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wananchi waliojitokeza mara baada ya kukagua na kisha kuweka jiwe la msingi kwenye mradi mkubwa wa Umwagiliaji (Center Pivot).
Picha ikionyesha baadhi ya mtambo mkubwa wa umwagiliaji wa Center Pivot ukiendelea na shughuli yake ya umwagiliaji kwenye shamba la Mbegu la Taifa lililopo wilayani Nzega.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongea na wananchi wa Magiri alipokuwa anaelekeza Manispaa ya Tabora akitokea Wilayani Nzega.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Kardnali Protase Rugambwa mara baada ya kuwasili jimboni hapo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Kardnali Protase Rugambwa mara baada ya kuwasili jimboni hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora kwenye Uwanja wa Ndege wa Tabora baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora kwenye Uwanja wa Ndege wa Tabora baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi Mkoani Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora kwenye Uwanja wa Ndege wa Tabora baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi Mkoani Tabora.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa