MRADI WA UMEME UNAO DHAMINIWA NA REA
Uwekaji wa umeme unaokwenda kwa jina la “Sasa ni kitongoji kwa kitongoji” utakaotekelezwa katika vitongoji 46 kwa Mkoa wa Tabora (Tabora Manispaa Vitongoji 27 na Nzega Vitongoji 19). Raisi wa Jamhuri ya Muangano wa Tanzania ametoa Tshs. Bilioni 6.5 kwa ajili ya Mradi huo. Mradi utatekelezwa kwa muda wa miezi 18 na Mkandarasi wa Kitanzania.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa