• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

Halmashauri ya Manispaa ya Tabora

Manispaa ya Tabora

                                    

 

 

Jiografia:

 

Wilaya ya Tabora inapatikana katika vipimo vya latitude 4°52' na 5°9' Kusini na Longitude 32° 29' na 33° 00' Mashariki. Eneo kubwa la Wilaya lipo kati ya mwinuko wa meta 1,000 na 1,500 juu ya usawa wa bahari. Wilaya ya Tabora imezungukwa na Wilaya za Uyui upande wa Magharibi, Kaskazini na Mashariki. Upande wa Kusini Tabora inapakana na Wilaya ya Sikonge. Wilaya inayo Halmashauri moja ambayo ni Manispaa ya Tabora, na hiyo ndiyo Makao Makuu ya Mkoa wa Tabora.

Utawala:

 

Wilaya inazo tarafa 2, Kata 25 ambapo 13 kati ya hizo zipo mjini na 12 zipo nje ya mji; vijiji 30, Vitongoji 116 na Mitaa 118. Wilaya inayo Halmashauri moja tu yenye hadhi ya Manispaa.

 

Jedwali : Mgawanyo wa maeneo ya Utawala

 

Wilaya

 

 

Majimbo ya Uchaguzi

Tarafa

Kata

Vijiji

Mitaa

Vitongoji

Tabora

1

2

25

30

118

116

 

 

 

Ili kuimarisha utawala bora ujenzi wa ofisi za kata unapewa kipaumbele katika manispaa ya TABORA. Picha hapo juu inaonesha ujenzi wa Ofisi ya kata ya Cheyo. Pia Majengo mengine yanajengwa katika kata za Ifucha, Ikomwa na Mbugani.

Idadi ya Watu:

 

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Manispaa ya Tabora ina jumla ya wakazi 226,999. Wanaume ni 111,361 na wanawake ni 115,638. Idadi hii ni kutokana na ongezeko kwa kiwango cha asilimia 2.36 kwa mwaka. Wastani wa watu katika kaya ni 4.7. Idadi ya watu, kaya na msongamano wao katika Wilaya ni kama inavyoonesha katika jedwali lifuatalo:-

 

Jedwali : Hali ya Mtawanyiko wa Idadi ya Watu Wilaya ya Tabora

 

 

 

ENEO KTK KM2

 

KASI YA ONGEZEKO LA WATU KWA MWAKA %

 

 

UKUBWA 

WA 

KAYA

 

IDADI YA WATU

IDADI YA KAYA

 

2012

(Sensa)

Kwa Km. ya Mraba

2012

(Sensa)

2013

 

2012

2013

1,092

2.3

4.7

226,999

172

208

39,368

69,560

 

 

Hali ya Uchumi na Maendeleo ya Wilaya:

 

Uchumi wa Wilaya ya Tabora kwa sehemu kubwa unategemea kilimo, mifugo na Biashara. Kilimo na mifugo huchangia asilimia 49 ya uchumi wa Wilaya na Biashara asilimia 28.5. Aidha, viwanda vidogo vidogo huchangia asilimia 13.01 na shughuli za ofisini asilimia 8.6. 

 

Pato la Wilaya limepanda kutoka Tsh. 383,250/= Mwaka 2007 hadi Tshs.470,983 Mwaka 2012. Ambalo lipo chini ya pato la Taifa la 558,400. Hii ni sawa na ongezeko la Tshs. 87,783 sawa na asilimia 23.

 

Wilaya inaendelea na jitihada za kukuza uchumi kwa kutekeleza mkakati wa kukuza uchumi na kupunguza umaskini (MKUKUTA) pamoja na Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2010 kwa kushirikisha wananchi na Wadau mbalimbali ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya 2025, Malengo ya Milenia, na MKUKUTA. 

 

SEKTA YA AFYA

 

Huduma za Afya (Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati)

  1. Hospitali moja (1) inamilikiwa na Serikali ya Mkoa.

  2. Vituo vya Afya 3 vinamilikiwa na Mashirika ya Dini, vinavyofanya kazi ni viwili na kimoja kimefungwa kwa kutokidhi vigezo.

  3. Zahanati 17 zinazomilikiwa na Halmashauri

  4. Zahanati 10 za Taasisi za Serikali (zinafanya kazi)

  5. Zahanati 4 za binafsi (1 imefungwa na wizara)

  6. Zahanati 3 za Taasisi za dini (1 imefungwa na wizara)

 

Hakuna Hospitali ya wilaya wala Kituo cha Afya kinachomilikiwa na Halmashauri. Hata hivyo Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ni miongoni mwa vipaumbele vya Wilaya ya Tabora.

 

Ujenzi wa nyumba ya mtumishi (2:1) zahanati ya Umanda

 

Mwaka 2013/2014 mpango mkakati wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya umeanza ambapo serikali kuu imetoa jumla Tash 150,000,000.00, Uongozi wa Wilaya umefanya vikoa kuhusisha wadau mbalimbali wa maendeleo ili kuhamasisha ujenzi wa Hospitali ya Wilaya, hatua iliyofikiwa ni upatikanaji wa kiwanja eneo la Ipuli. 

 

 

Idadi ya Hospitali, vituo vya afya na zahanati

Wilaya
Vituo vya kutolea hudumam Manispaa ya Tabora
 

2012

2013/2014

Manispaa ya Tabora
Hospitali
Vituo vya afya
Zahanati
Hospitali
Vituo vya afya
Zahanati
1
2
35
1
2
32

NB: Hospitali hii (1) ya Kitete ni ya Mkoa wa Tabora. 

 

 

Mradi wa ujenzi wa OPD kituo cha afya Itetemia. Kituo hiki kimekamilka na kinafanya kazi

 

Watumishi idara ya Afya:

Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ina upungufu mkubwa wa rasilimali watu katika vitengo vyake vyote. Watumishi katika kitengo cha kinga ikama ni 68, waliopo ni 54 na upungufu ni watumishi 14. Kitengo cha Tiba ikama ni 337 waliopo 225 upungufu ni 112, hivyo kufanya jumla ya upungufu wa watumishi kuwa 126. 

 

 

Nyumba ya mtumishi (2:1) Zahanati ya Itetemia

 

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA TABORA December 14, 2022
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • CCM TABORA WARIDHISHWA NA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM YA MWAKA 2020-2025

    March 20, 2023
  • UFUNGUZI WA KIKAO CHA TATHMINI YA MAENDELEO YA MKOA(RCC)

    February 21, 2023
  • UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA MABWAWA YA KUTIBU MAJITAKA

    February 22, 2023
  • KALIUA TABORA

    January 05, 2023
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa