• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

NJOONI MSOME CHUO CHA MADINI NZEGA

Posted on: December 21st, 2022

Wananchi Mkoani Tabora wametakiwa kuchangamkia fursa za Masomo yanayotolewa na Chuo cha madini Nzega Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mkuu wa Chuo hiki Nuru Msengese amesema inasikitisha kuona hakuna mwanafunzi hata mmoja ambaye anatoka Mkoa wa Tabora aliyejiunga na Chuo hicho Mwaka wa Masomo 2023.

Msengema ameyasema hayo wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa Kwanza na kuongeza kuwa tangu kuanzishwa kwa Chuo hicho miaka mitatu iliyopita bado kiasi  cha udahili kwa wanafunzi wanaotoka Mkoa wa Tabora ni ndogo ikilinganishwa na wale wanaotoka katika Mikoa mingine.

Afisa Tarafa wa Nyasa Wilaya ya Nzega Ricardo Komanya anasema kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Elimu wataongeza mbinu katika kukitangaza chuo hicho kwa wananchi ili kiweze kudahili wanafunzi wengi zaidi wakiwemo wa kutoka Mkoa wa Tabora.

Ameongeza kuwa ni heshima kubwa kwa Wilaya ya Nzega kuwa na Tawi la Chuo cha Madini, Chuo kikuu cha Dar es Salaam.


Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA TABORA December 14, 2022
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • NAMBA ZA MAWASILIANO OFISI YA MKOA TABORA November 23, 2020
  • Angalia zote

Habari mpya

  • KALIUA TABORA

    January 05, 2023
  • UZINDUZI WA KAMPENI YA UPANDAJI MITI TABORA

    January 02, 2023
  • HAFLA YA KUFUNGA MWAKA TABORA

    December 31, 2022
  • UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA 30 WA CHAMA CHA USHIRIKA WA TUMBAKU WETCU LTD

    December 30, 2022
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • Government Portal
  • SALARYSLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa