Kila mwananchi Mkoani Tabora hahakishe ameweka kingo za udongo katika mti ulioko mbele ya nyumba
yake ili kuweza kuhifadhi maji katika shina la mti. ENDAPO MTI UTAONEKANA UMENYAUKA, MHUSIKA ATAWAJIBIKA.
IMETOLEWA NA AFISA HABARI
TIGANYA
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa