Aende Baraza la Mitihani Tanzania akiwa na Loss Ripoti ya polisi pamoja na shilingi laki moja ili kupata cheti kingine.
Kubadilisha cheti cha nje ya nchi na kupata cheti cha Tanzania ,zoezi hilo linafanywa na Baraza la Mitihani Tanzania -Jijini Dar Es Salaam.
Uhamisho unaazia Shuleni anaposoma, kwenye kata , Halmashauri na mwisho kumalizia katika ngazi ya Mkoa anapotoka Mwanafunzi.
Matokeo yote yanapatikana kwenye Tovuti ya necta. Ambayo ni: necta.go.tz
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa