Mkoa una jumla ya masoko 56 ya bidhaa mbalimbali yakiwemo mazao ya Kilimo, Mifugo na Viwandani.Jedwali la Hali ya Masoko ya Bidhaa kwa kila Halmashauri.
Na |
Halmashauri |
Idadi ya Masoko yaliyopo |
Idadi ya Masoko yanayo hitajika |
1 |
Tabora MC
|
6 |
10 |
2 |
Nzega TC
|
5 |
5 |
3 |
Urambo
|
9 |
18 |
4 |
Igunga
|
6 |
9 |
5 |
Uyui
|
9 |
30 |
6 |
Nzega DC
|
5 |
10 |
7 |
Kaliua
|
12 |
15 |
8 |
Sikonge
|
4 |
17 |
|
Jumla
|
56 |
114 |
SOKO LA MADINI YA DHAHABU.
Soko la Madini la Mkoa na Vituo vya kukusanyia Madini vitatu (3) vilianzishwa mwezi Mei, 2019. Soko la Madini la Mkoa lilianzishwa Nzega, Vituo vya kukusanyia Madini (Masoko ya Awali) vya Matinje – Igunga, Kitunda – Sikonge na Nsungwa – Kaliua. Vituo vya kukusanyia madini pamoja na Soko la Madini la Mkoa vinafanya kazi vizuri na linaratibiwa na Tume ya Madini Mkoa wa Tabora.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa