Huduma zote zinazohusiana na Leseni za Biashara, Leseni za vileo, Ushuru wa Huduma, Leseni za Hoteli, Kodi ya Pango na vibali vya ujenzi zinapatikana kwa njia ya Kidigitali bila kufika Ofisi za Halmashauri. Kuomba tembelea link https://tausi.tamisemi.go.tz/
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa