Karibu Katika Tovuti ya Mkoa waTabora, Mkoa wa Tabora ni mmoja kati ya Mikoa 30 inayounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayopatikakana Magharibi mwa bara la Afrika, Mkoa wa Tabora, Umezungukwa na Mikoa ya Singida, Shinyanga,Katavi na Kigoma.
Tovuti hii ya Mkoa wa Tabora inamilikiwa na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora, katika Tovuti hii utapata kujionea shughuli mbali mbali zinazofanywa na Ofisi ya hiyo lakini pia itakuwezesha kupata taarifa muhimu.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa