Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akiwasili katika Ofisi za Mkoa wa Tabora na kusalimiana na wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Tabora kabla ya kuelekea Wilayani Sikonge kushiriki katika uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge, Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akiwasili Wilayani Sikonge, kushiriki uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge. Pembeni yake ni mwenyeji wake ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian, Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akitembelea, kupata maelezo na kujionea mitambo mbalimbali iliyopo katika Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki kilichopo Wilayani Sikonge, mara baada ya kuwasili kiwandani hapo, Disemba 4, 2023
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi, viongozi wa kamati ya usalama ya Wilaya, wananchi na wadau mbalimbali wa sekta ya Biashara wakishiriki hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge,Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akijionea baadhi ya bidhaa za Mazao ya Nyuki zilizochakatwa katika Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge, Disemba 4, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akimuelezea Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ubora wa Asali kutoka Tabora kwenye hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge, Disemba 4, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Ndugu Seleman Pandewe akitoa taarifa fupi ya mradi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge, kwenye hafla ya uzinduzi wa kiwanda hiko, Disemba 4, 2023
Mbunge wa Jimbo la Sikonge Mhe. Joseph Gerge Kakunda akitoa salamu za jimbo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge, Disemba 4, 2023
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa (MCC) Ndugu. Hassan Wakasuvi akitoa salamu za Chama Cha Mapinduzi CCM, wakati wa Uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge, Disemba 4, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akitoa salamu za Mkoa na kisha kumkaribisha Mgeni rasmi ambaye ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe kwenye hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge, Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akishirikiana na viongozi wengine wa Chama Chama Mapindui na Serikali kubonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa mfumo wa Stakabadhi Ghalani kwenye Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge, Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Wilaya kutoka Mkoa wa Tabora sambamba na Mbunge wa Jimbo la Sikonge Mhe. Joseph George Kakunda, mara baada ya hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge kumalizika, Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wadiwani kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mara baada ya hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge kumalizika, Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wadau mbalimbali wa biashara na viwanda mara baada ya hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge kumalizika, Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge mara baada ya hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge kumalizika, Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watendaji kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge mara baada ya hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge kumalizika, Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akiwa kwenye picha ya pamoja na kamati ya usalama ya Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Sikonge mara baada ya hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge kumalizika, Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali mara baada ya hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge kumalizika, Disemba 4, 2023
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa viongozi wa CCM Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Sikonge mara baada ya hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki, kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge kumalizika, Disemba 4, 2023
Muonekano wa Kiwanda cha Kati cha Kuchakata Mazao ya Nyuki kilichopo Kata ya Madukani Wilayani Sikonge mara baada ya uzinduzi wake kukamilika, Disemba 4, 2023
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa