Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2023, Ndugu Abdallah Shaibu akiweka mzinga wa kisasa baada ya kuzindua Kikundi cha Wafugaji Nyuki cha Jitegemee, kilichopo wilayani Sikonge.
Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo wakati Mwenge wa Uhuru ulipopita na kujionea Wilaya ilivyosimamia na kutumia kwa ufanisi mapato ya ndani katika kukuza sekta ya ufugaji nyuki, Ndugu Abdallah alieleza kwamba, Serikali inaendelea kutoa fedha nyingi ili kuunga mkono shughuli za ufugaji nyuki ambao kwa hakika umekuwa na tija katika kulinda na kutunza mazingira yetu.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa