• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
      • Community development
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

VIONGOZI WA MIKOA WAJADILI UENDELEZAJI WA SHOROBA ZA KILIMO SINGIDA.

Posted on: February 12th, 2026


Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Paulo Chacha, ameungana na wakuu wa mikoa wengine katika mkutano wa uhamasishaji wa ukuzaji na uendelezaji wa shoroba za kilimo uliofanyika tarehe 12 Februari 2026 mkoani Singida.

Mkutano huo ulilenga kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika kukuza sekta ya kilimo, kuongeza tija katika uzalishaji na kuchochea maendeleo ya uchumi wa Taifa kupitia matumizi bora ya rasilimali zilizopo katika mikoa husika.

Kikao hicho kiliongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, na kilihusisha viongozi na wataalamu kutoka mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma. Miongoni mwa washiriki walikuwa Makatibu Tawala wa mikoa hiyo, wataalamu wa kilimo pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo nchini.

Washiriki walijadili mikakati ya pamoja ya kuendeleza shoroba za kilimo, kuboresha miundombinu ya uzalishaji na masoko, pamoja na kuhamasisha uwekezaji katika mnyororo mzima wa thamani wa mazao ya kimkakati.

Hatua hiyo inaelezwa kuwa sehemu ya mkakati mpana wa Serikali wa kuifanya sekta ya kilimo kuwa injini ya ukuaji wa uchumi na chanzo kikuu cha ajira na kipato kwa wananchi.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA MIKOA WAJADILI UENDELEZAJI WA SHOROBA ZA KILIMO SINGIDA.

    February 12, 2026
  • SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA USALAMA WA BODABODA TABORA, YATAKA UTII WA SHERIA BILA SHURUTI

    February 11, 2026
  • TABORA KWENDA KUNUFAIKA NA ZOEZI LA UPIMAJI NA UTAFITI WA AFYA YA UDONGO.

    February 06, 2026
  • VIONGOZI TABORA WAHANI MSIBA WA MFANYABIASHARA MZALENDO MZEE NASSORO HAMDAN SEIF.

    February 06, 2026
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice
  • Migration Tanzania

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa