• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC ATAKA USIMAMIZI WA MALEZI NA MAKUZI YA MTOTO KUWA JUKUMU LA WAZAZI WOTE

Posted on: June 25th, 2021

MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani amesema malezi na makuzi katika familia linapaswa kuwa ni la wazazi wote wawili tangu mtoto akiwa tumboni lengo la kumjenga kiakili.

Alisema hatua hiyo itasaidia kuwa na vijana na wazee wenye upendo na ushirikiano nyakati zote.

Balozi Dkt. Batilda alitoa kauli hiyo wakati wa dhifa yakukabidhi Mradi wa malezi kwa makuzi

Alisema malezi yamesababisha kukosekana kwa upendo kwa baadhi ya vijana kushindwa kuwatunza wazazi wao wanapokuwa wazee na wakati mwingine kudiri kuwakatisha masiaha yao ili waweze kurithi mali.

Balozi Dkt. Batilda alisema malezi ya mtoto yanaanza siku mama anapopata ujauzito kwa kumweleza maeneo mazuri yakiwemo ya kumfundisha kuepnda dini ilia je awe raia mwema.

Alisema kwamba kwa sasa, Malezi na makuzi imejumuishwa katika miongozo mbali mbali ya utoaji huduma za afya  hivyo ni wajibu   wa  wadau muhimu wa afya kwenda kutekeleza miongozo ya kitaifa ya utoaji wa huduma za afya  , ikiwemo   Malezi kwa makuzi na ustawi wa jamii .

 Mkuu huyo wa Mkoa alisema kwamba Serikali  imedhamiria  kuendeleza  Mpango  wa malezi na Makuzi hasa kwa kuziagiza halmashauri zote zitaendeleza  ili kuepusha watoto na udumavu na kupata lishe bora.

 

Alisema sanjari na hilo mtoto anapaswa kupata lishe nzuri tangu awali ili kukuza akili yake.

Balozi Dkt. Batilda alisema kufuatia umuhimu wa lishe bora kwa ajili ya makuzi ya mtoto amewaagiza Wakuu wote wa Wilaya ya Mkoa wa Tabora kuhakikisha wanzisimamia Halmashauri ziwe zinatenga shilingi 1,000/=  kwa ajili ya watoto kupata lishe.

“Nasisitiza tena  kuendelea kutenga Kiasi cha Tsh. 1000/= kwa kila mtoto chini ya miaka 5 kama tulivyoagizwa na serikali” alisema  Balozi Dkt Batilda

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI NA SHERIA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAO.

    July 17, 2025
  • TANZANIA YAONGOZA AFRIKA MASHARIKI KWA KUANZISHA MFUMO WA KIDIGITALI KUWATAMBUA WATU WENYE ULEMAVU.

    July 16, 2025
  • “WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MSIMAME KWENYE MISINGI YA SHERIA NA HAKI.”: MHE. RWEBANGIRA

    July 15, 2025
  • DKT. RUTANISIBWA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA AFYA KUTOKA HALMASHAURI ZA MKOA WA TABORA:ASISITIZA UWAJIBIKAJI KATIKA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA KWA WANANCHI

    July 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa