Mkoa umetenga jumla ya ekari 4,049.59 za ardhi kwa ajili ya ujenzi wa Viwanda na Masoko na pia ujenzi wa miundombinu ya kuwezesha Wajasiliamali wadogo ikiwemo majengo ya usindikaji, masoko na maghala.
Mkoa kupitia halmashauri zake zote 8 umeanzisha Maeneo maalum na kujenga miundombinu ya biashara kwa ajili ya machinga kama ifuatavyo:-
litatumika katika Uzalishaji wa Bidhaa mbalimbali kama usindikaji wa Vyakula na Matunda, kutengeneza Batiki, Sabuni, Vipodozi Ngozi na bidhaa mchanganyiko, Kuuza Bidhaa mbalimbali, Kituo cha Kupata nembo ya Ubora ya TBS, Matumizi jumuishi na mashine mbalimbali ziliziwezeshwa na serikali na wadau mbalimbali,
Machinga 2888 wamepangwa katika Mkoa, Mfano Manispaa ya Tabora imetenga na kuwapanga Machinga 1558 katika eneo la pembezoni mwa Kituo kikuu cha Mabasi Tabora.
kufanyia biashara Wajasiliamali
ofisi ya SIDO Mkoa.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa