• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MAKUNGU AELEZA FURSA LUKUKI ZA UWEKEZAJI MKOANI TABORA

Posted on: January 22nd, 2021

MAKUNGU AELEZA FURSA LUKIKI ZA UWEKEZAJI MKOANI TABORA

WAWEKEZAJI toka ndani na nje ya Tanzania wametakiwa kujitokeza kuwekeza Mkoani Tabora kwa kuwekeza katika sekta mbalimbali kutokana na mazingira kuwa rafiki kwa shughuli mbalimbali za uzalishaji.

Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Makungu kwa Maafisa wa Kijeshi kutoka Nchi mbalimbali kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) walikuwa katika ziara ya kimafunzo Mkoani Tabora hivi karibuni

Alisema kuwa maeneo mbalimbali ambayo yanafaa kwa uwekezaji mdogo na mkuwa.

Makungua alisema asilimia 50 ya ardhi yote inayofaa kwa kilimo bado haijatumika katika shughuli za uzalishaji na hivyo kwa wawekezaji wanaohitaji wanakaribishwa.


 

Alitaja mazao yanayokuwabali mkoani humo ni pamoja na mazao ya nafaka, aina ya mikunde, mazao ya mizizi, matunda kama vile miembe.

Mazao mengine ni kama vile ya biashara ambayo ni pamba na tumbaku na hivi sasa mkoa huo unaendelea mkakati wa kulima korosho katika mashamba makubwa.

Alisema katika kuhakikisha kuwa wanabadilisha kilimo cha Mkoa huo na kuwa cha kisasa wameanza kuandaa kilimo cha mashamba makubwa ya korosho katika eneo la Karangasi wilayani Uyui na wanatarajia kuwa na aina ya mashamba hayo katika maeneo ya Halmashauri mbalimbali za Mkoa huo.

Makungu alisema Mkoa huo una maeneo makubwa  yanayofaa kwa kilimo cha umwagiliaji kwa ajili ya uzalishaji wa mpunga na mazao mengine.

Alisema katika kudhibitisha hilo kuna mradi mkubwa wa umwagiliaji wa Mwamapuli uliopo wilayani Igunga umeonyesha mafanikio makubwa ambao uzalishaji wake umesababisha kuibuka kwa viwanda vya kati vya kukoboa na kuchambua mchele ambao unasafirishwa katika Nchi mbalimbli.

Kwa upande wa Makungu alisema wanaendelea na mkakati wa uboreshaji wa mifugo hasa Ng'ombe wa asili ili kuwawezesha Wafugaji kuongeza kipato badala ya kuendelea na ufugaji wa mazoea ambao kuwa na Ng'ombe wengi wasiokuwa na tija kwao.

Alisema nje ya mkakati huo tayari wamepata mbegu kutoka Wizara ya Mifugo kwa ajili ya kuhamilisha ng’ombe wa asili ili kupata koosafu bora.

Makungu alisema lengo ni kutaka wafugaji Mkoani Tabora kuachana na ufugaji wa kimazoea wa kuona ufahari wa kuwa na kundi kubwa la ng’ombe ambao hawana tija na kuingia wa na ng’ombe wachache wanaotikana na kosafu bora.

Alisema kuna fursa za kuwekeza katika sekta ya Utalii kutokana na uwepo Hifadhi ya Taifa ya Mto Ugalla ambayo inaweza kuvutia utalii wa uvuvi na kuangalia wanyama wa aina mbalimbali waliomo katika Hifadhi hiyo.

Makungu aliongeza kuwa mbalimbali utalii pia zipo shughuli za uchimbaji madini katika Wilya ya Sikonge , Igunga na Nzega.

Katibu Tawala huyo wa Mkoa alisema uwepo wa mistu asili mikubwa inaweka mazingira mazuri ya ufuagaji wa nyuki wa kisasa na uwanzishaji wa viwanda vidogo na vikubwa vya kuchakata asali kwa ajili ya kuiongezea thamani.

 

 

Mwisho


Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. CHACHA AIPONGEZA TIMU YA UMISSETA MKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA TATU KITAIFA

    July 01, 2025
  • RC. CHA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA, WAAHIDI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UADILIFU.

    July 01, 2025
  • TABORA: MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI YA NCHI

    June 26, 2025
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YAENDESHA MAFUNZO MAALUM YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA TABORA

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa