• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

BILIONI 257 MIRADI YA MAJI, ASANTE SANA MHE. RAIS.

Posted on: October 13th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian amemshukuru Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha Bilioni 257 kwa ajili ya kukamilisha miradi ya maji Mkoani Tabora ambayo imeongeza hali ya upatikanaji wa maji. Ameyasema hayo leo Oktoba 13, 2023 alipokuwa akifungua Kikao cha Mrejesho wa Utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa bwawa la Igombe, kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Ualimu (TTC) Manispaa ya Tabora.

 

“Namshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia Zaidi ya Bilioni 257 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maji na kuongeza hali ya upatikanaji wa maji asilimi 75 kwa mijini na asilimia 68 kwa vijijini”

 

Sambamba amewashukuru na kuwapongeza watendaji wote wa Taasisi ya Bonde la Ziwa Tanganyika kwa utendaji uliotukuka na kuwataka watendaji hao kuendeleza juhudi na kasi ya kurinda  na kuthibiti uharibifu na uchafunzi wa vyanzo vya maji.

 

“Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru watendaji wote wa Taasisi ya Bonde la Ziwa Tanganyika kwa utendaji wao uliotukuka na nitoe wito kwao kuongeza kasi ya kulinda na kudhibiti uharibifu na uchafuzi wa vyanzo vya maji” Alisistiza Mku wa Mkoa

 

Aidha Mkuu wa Mkoa amebainisha changamoto zilizokuwa zinalikabili Bwawa la Igombe zikiwemo kuzeeka kwa tuta, kujaa tope na mchanga sambamba na ulishaji na uchungaji wa mifugo, na kwamba ameridhishwa na ukarabati uliofanywa ambao umepunguza changamoto hizo kwa kiasi kikubwa.

 

“kwa hakika nimeridhishwa sana na ukarabati uliofanywa ambao umetatua baadhi ya changamoto ambazo zilikuwa zinalikabili bwawa hili, changamoto kama kuzeeka kwa kuta za bwawa, kujaa mchanga na tope sambamba na shughuli za kibinadamu hususani ufugaji” alisema Dkt. Batilda.

 

Itakumbukwa kuwa, mnamo mwezi Mei, kulifanyika kikao cha uwasilishwaji wa changamoto ambazo zinalikumba Bwawa la Igombe na kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo, ambapo Serikali kupitia Wizara ya Maji, ilitenga jumla ya shilingi Bilioni 1.5 ambazo zimetumika katika ukarabati wa Bwawa hilo. Hivyo ufunguzi wa Kikao hiki ni nafasi ya kujadili na kutathimini ukarabati uliofanywa.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa