• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RAS TABORA AFUNGUA MAFUNZO YA WANASHERIA WA MAMLAKA ZA SERIKALI WA MKOA WA TABORA

Posted on: January 30th, 2024

Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt. John Mboya amewataka wanasheria walioka katika mamlaka zote za Serikali mkoani Tabora kufanya tathmini kwenye mashauri yanayohusu serikali ili kuiepushia serikali gharama zisizo na faida. Ameyasema hayo leo Januari 30, 2024 akihutubia katika kikao cha wanasheria wa mamlaka ya serikali za mitaa kinachofanyika huko Wilayani Igunga.

 

“Mwanasheria anapaswa na anashauriwa kujitathimini kama shauri lililo mbele yake kama atafauru au la na kuishauri halmashauri mapema kuchukua hatua stahiki kwa maslahi ya halmashauri na upande mwingine” alisema Dkt. Mboya.

 

Dkt. Mboya amewataka wanasheria kuangalia gharama ambazo halmashauri inaweza kuzitumia kwenye mashauri mbalimbali kabla ya kuingia kwenye mashauri yanayoikabiri halmashauri husika ili kuepukana na matumizi ya gharama kubwa kwenye shauri.

“hakikisha unatathmini kiasi cha fedha kitakachotumika kuendesha shauri ikiwemo gharama za kufungua kesi, kulipa mashahidi endapo watatoka nje ya mamlaka unayofanyia kazi” alisema Katibu Tawala 

 

Aidha, Dkt. Mboya amewapongeza wanasheria wa mamlaka zote za serikali za kitaa  mkoani Tabora kwa kushiriki kikao hiko ambacho kwa hakika kinakwenda kujenga umahiri kwa wanasheria hao na kutoa wito kwa wanasheria hao kutumia kikao hiko katika kukuza utendaji kazi katika mamlaka zao ili kuboresha huduma za kisheria kwa wananchi wa mkoa wa Tabora.

 

Naye, Mkuu wa Kitengo cha Sheria Mkoa wa Tabora Wakili wa Serikali Silinde Gumada amemuhakikishia Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora kuyafanyia kazi maelekezo na mapendekezo yote ambayo ameyatoa katika hotuba yake, na kwamba yeye kama mkuu wa kitengo atahakikisha maelekezo na mapendekezo yaliotolewa yanawafikia wanasheria wote kwenye mamlaka zote za serikali za mkoa wa Tabora.

 

Kikao cha Wanasheria Wa Mamlaka Za Serikali Za Mitaa Mkoa Wa Tabora kilifunguliwa januari 29, 2024 na kinatarajiwa kufungwa Februari 2, 2024, ambacho kimehusisha wanasheria wote wa mamlaka zote za serikali kutoka halamashauri zote za Mkoa wa Tabora.

 

Na mara baada ya kumaliza Hotuba yake Dkt. John Mboya alipata nafasi ya kutoa somo kwa wanasheria hao kuhusiana na Sera ya Public Private  Partnership (PPP).








Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa