Leo Juni 6,2023, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango tayari amewasili katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora na ameyafungua rasmi Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) na Mashindano ya Umoja wa Michezo Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) yanayofanyika kitaifa Mkoani Tabora, leo tarehe 06 Juni 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango aliwasili leo asubuhi kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi katika Hospitali ya Manispaa ya Tabora na kisha kufungua Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) na Mashindano ya Umoja wa Michezo Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA).
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa