Tayari Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameshawasili uwanja wa ndege Mkoani Tabora na kupokelewa na Mwenyeji wake ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian.
Makamu wa Rais amewasili Mkoani Tabora kwa ajili ya kuweka jiwe la Msingi katika Hospitali ya Wilaya iliyopo Manispaa ya Tabora na baadae atakuwa Mgeni rasmi kwenye Ufunguzi wa Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA yanayofanyika katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Manispaa ya Tabora.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa