Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui Mhe. Said Ntahondi amempongeza Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kwa kufanikiwa kuipandisha daraja timu ya mpira wa miguu ya KITAYOSCE ambapo kwa sasa inafahamika kama Tabora United.
Ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Kikao Maalum cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Uyuii cha kupokea taarifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa