Ziara ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu chini ya Mwenyekiti Mhe. Seleman Kakoso wakagua utekelezaji wa mradi wa Jengo la Abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Tabora 13 March, 2024 Mkoani Tabora na kujionea maendeleo ya mradi ambao unaendelea kutekelezwa mkoani hapo.
Mradi wa Jengo hilo utakapokamilika utaweza kuhudumia abiria 120 kwa wakati mmoja umegharimu kiasi cha shilingi Bil 24.627 bila ongezeko la VAT na unatekelezwa na Mkandarasi kampuni ya M/s Beijing Construction Engineering Group co.Ltd ya China.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa