• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

KAMATI YA SIASA MKOA WA TABORA YALIDHISHWA NA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI IGUNGA NA NZEGA

Posted on: March 9th, 2023

Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa ameambatana ma wajumbe wengine wakiongozwa na mwenyekiti wa CCM (M) Tabora Hassan Wakasuvi ambaye pia ni mjumbe wa (H) kuu taifa,  katika ziara ya ukaguzi wa miradi ambayo ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2020. Katika ziara hiyo Dkt. Batilda alitoa pongezi na shukrani kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye kwa miaka miwili amefanikiwa kutekeleza Ilani ya CCM kwa kasi kubwa sana hasa katika sekta ya Elimu, Miundombinu na Afya. Na ametoa pongezi kwa kamati yote ya siasa ya mkoa kwa kusimamia vema Ilani ya CCM ngazi ya mkoa.

Sambamba na hilo ametoa pongezi kwa watendaji wote wa serikali ngazi ya mkoa, wilaya,mbunge, kata na vijiji kwa kusimamia vema fedha za serikali. Na kama mkoa utaendelea kusimamia miradi yote ya maendeleo ili fedha zinazotolewa na Dkt. Samia Suluhu Hassan zionekakane thamani yake na kutoa huduma bora kwa wananchi. Ametoa wito kwa wananchi wa wilaya ya Igunga na Nzega kutunza na kulinda miundombinu ya barabara, afya na elimu ambayo serikali imewekeza fedha nyingi sana katika kuikamilisha. Ametoa wito kwa watendaji wa kijiji na kata kuwashirikisha wananchi wa eneo husika katika miradi ya maendeleo ili kuhakikisha wananchi hao wanahusika katika kulinda miradi hiyo.

Nao wajumbe wa kamati ya siasa ya mkoa kwa nyakati tofauti wamempongeza Mkuu wa mkoa wa Tabora kwa kusimamia vema miradi ya serikali ambayo ni sehemu ya Ilani ya CCM.Na kwamba kama viongozi wa Chama wanaridhishwa na utendaji wake na kuahidi kutoa ushirikiano kwa ofisi ya mkuu wa mkoa.

________________________

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. CHACHA AIPONGEZA TIMU YA UMISSETA MKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA TATU KITAIFA

    July 01, 2025
  • RC. CHA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA, WAAHIDI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UADILIFU.

    July 01, 2025
  • TABORA: MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI YA NCHI

    June 26, 2025
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YAENDESHA MAFUNZO MAALUM YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA TABORA

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa