Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Lois Peter Bura amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kwenye Kikao maalumu cha kujadili mipango na mikakati ya mradi wa Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere Cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) unaotarajiwa kutekelezwa hapa Mkoani Tabora. Novemba 1, 2023.
Kwa Mkoa wa Tabora mradi huu mpaka kukamilika kwake kutagharimu fedha za kitanzania Shilingi Bilioni 19.48 fedha hizo ni mkopo kutoka Benki ya Dunia. Malengo ya mradi huu ni kuwaandaa Wataalamu wa kutosha wenye ujuzi wa hali ya juu kupitia Sekta Kilimo na biashara ili kuchagiza maendeleo ya jamii na taifa.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha, na Utawala Profesa Msafiri Jackson ambaye pia ni Mratibu wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi akitoa ufafanuzi wa kina kwa wajumbe waliohudhuria kwenye Kikao maalumu cha kujadili mipango na mikakati ya mradi wa Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere Cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) unaotarajiwa kutekelezwa hapa Mkoani Tabora. Novemba 1, 2023
Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Taaluma, Tafiti, na Ushauri, Profesa Agnes Mwakaje akitoa ufafanuzi wa kina kwa wajumbe waliohudhuria kwenye Kikao maalumu cha kujadili mipango na mikakati ya mradi wa Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere Cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) unaotarajiwa kutekelezwa hapa Mkoani Tabora. Novemba 1, 2023
Kwa niaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora Ndugu Hassan Wakasuvi, Mjumbe wa Halmashauri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kupitia Mkoa wa Tabora.Ndugu. Mohamed Nassoro Hamdan akitoa salamu za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wenye Kikao maalumu cha kujadili mipango na mikakati ya mradi wa Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere Cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) unaotarajiwa kutekelezwa hapa Mkoani Tabora. Novemba 1, 2023
Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt. John Mboya akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Lois Peter Bura ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kwenye Kikao maalumu cha kujadili mipango na mikakati ya mradi wa Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere Cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) unaotarajiwa kutekelezwa hapa Mkoani Tabora. Novemba 1, 2023
Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian, Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Lois Peter Bura akitoa hotuba ya ufunguzi wa ikao maalumu cha kujadili mipango na mikakati ya mradi wa Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere Cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) unaotarajiwa kutekelezwa hapa Mkoani Tabora.Novemba 1, 2023.
Picha ikionesha miundombinu itakavyokuwa kwenye mradi wa Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere Cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) unaotarajiwa kutekelezwa hapa Mkoani Tabora.
Ramani ikionesha namna mradi Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere Cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) unaotarajiwa kutekelezwa hapa Mkoani Tabora.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa