Maadhimisho ya Siku ya Mbolea Dunian Kwa mwaka huu yanafanyika Mkoani Tabora kwenye viwanja vya Chipukizi vilivyopo Manispaa ya Tabora kuanzia Oktoba 11, 2023 hadi Oktoba 13, 2023.
Kauli mbiu ya mwaka huu inasema:
“Matumizi Sahihi ya Mbolea ya Ruzuku Kwa Kilimo Chenye Tija”
#KAZI IENDELEE
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa