• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MAADHIMISHO YA SIKU YA MBOLEA DUNIANI YAZINDULIWA LEO MKOANI TABORA

Posted on: October 11th, 2023

Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian, Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe. Simon Chacha ameyafungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Mbolea Duniani katika viwanja vya Chipukizi, Manispaa ya Tabora leo Oktoba, 11, 2023.

 

Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe. Simon Chacha akisalimiana na baadhi ya viongozi kutoka taasisi mbalimbali zinazojihusisha na masuala ya kilimo zikiwemo TFRA na zinginezo zilizoshiriki kwenye maadhimisho ya Siku ya Mbolea Duniani.

 

Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe. Simon Chacha akipata maelezo ya kina kutoka kwa mmoja wa watendaji kutoka Mamlaka ya Uthibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA). TFRA kama mdau mkubwa wa masuala ya Mbolea wana wajibu wa kuhakikisha mbolea zinawafikia wakulima kwa wakati na kwa uhakika, kwa mujibu wa taratibu, Sheria na miongozo iliyowekwa.

 

Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe. Simon Chacha akiwa kwenye banda la Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) akipata maelezo kwa kina kutoka kwa mmoja wa watendaji wa (TCDC). TCDC ina wajibu wa kusimamia na kuhakikisha vyama vya msingi kupitia ushirika, mbolea inafika kwa wakati na ya kutosha. Sambmba na kusimamia na kudhibiti vyama vya ushirika nchini.

 

Baadhi ya wananchi kutoka Mkoa wa Tabora na Mikoa ya Jirani wakitembelea na kupata elimu, sambamba na kujionea shughuli mbalimbali katika baadhi ya mabanda yaliopo kwenye viwanja vya Chipukizi, kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mbolea Duniani.

 

Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe. Simon Chacha akihutubia mamia ya wananchi waliopata kuhudhuria ufunguzi wa maadhimisho ya Siku ya Mbolea Duniani kwenye viwanja vya Chipukizi vilivyopo Manispaa ya Tabora. 

 

Katika hotubu yake Mhe. Simon Chacha alijikita kwenye kuelezea mafanikio makubwa yaliofanywa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kuhakikisha wakulima wanapata Mbolea ili kuongeza uzalishaji.

 

Maadhimisho ya Siku ya Mbolea Duniani yameziduliwa leo Oktoba 11, 2023 na kufikia kilele chake mnamo Oktoba 13, 2023 ambapo inatarajiwa Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb) kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho hayo.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa