• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MAMIA YA WAJASIRIAMALI TABORA KUFAIDIKA NA PROGRAMU YA IMBEJU

Posted on: February 27th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Peter Bura amewahakikisha wajasiriamali mkoani Tabora kufaidika na mikopo inayotolewa na Benki ya CRDB kupitia programu ya iMBEJU. Ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa ajili ya kuwaendeleza wanawake na vijana katika uvumbuzi yaliofanyika katika Ukumbi wa Utumishi wa Umma, Manispaa ya Tabora.

 

Akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Bura ametoa wito kwa Benki ya CRDB kubuni namna mbalimbali za kutoa elimu kwa vijana na wanawake kuhusiana na matumizi ya huduma za kibenki ili mikopo wanayopata iwafaidishe katika shughuri zao za uzalishaji mali.

“Wapeni wateja wenu na wananchi wote kwa ujumla elimu ya umuhimu wa kuweka akiba, kukopa na kurejesha na kufanya malipo kupitia benki” alisema Mhe. Bura.

 

Aidha, Mhe. Bura amewataka vijana na wanawake wote kulipa madeni yako kwa wakati mara baada ya kupata mikopo ambayo wanaitumika kama mitaji katika kukuza mitaji yao ya biashara.

“Kwa wale ambao wana mpango wa kukopa, iwe mikopo binafsi au ya biashara, niwaombe kwa mara nyingine kutambua kuwa kurejesha kwao mikopo ndio kunaleta uendelevu wa Benki yetu hii”

 

Kwa upande wa mwakilishi wa Meneja Kanda ya Magharibi Ndugu.  Asleim Mwenda amesema kuwa kwa mwaka huu Benki ya CRDB kupitia program ya iMBEJU, imetenga fedha za kutosha kwa ajili ya mikopo kwa vijana na wanawake katika kuwajengea uwezo katika shughuri zao za ujasiriamali na kutoa wito kwa vijana na wanawake kuchangamkia fursa hiyo.

 

Naye, Meneja wa CRDB tawi la Tabora Bw. Evodi Kereti amemuhakikisha Mkuu wa Wilaya ya  Tabora kuwa, Benki ya CRDB imejipanga kutoa elimu kwa vijana na wanawake ili kuhakikisha mikopo inayotolewa kupitia program ya iMBEJU inakuwa na tija kwao.

 

Ikumbukwe kuwa, Programu ya iMBEJU inalenga kuimarisha biashara za ubunifu nchini Tanzania kwa kusaidia uvumbuzi ambao unachangia katika utengenezaji wa ajira kupitia kampuni za kuanzisha biashara. Wito huu unalenga kusaidia wanawake na vijana wabunifu kukua na kuweza kuuza bidhaa zao na huduma.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA MKOA WA TABORA LADHAMIRIA KULETA MAGEUZI KATIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KWA WANANCHI

    May 21, 2025
  • VIONGOZI WA MIKOA YA TABORA NA KIGOMA WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI KUELEKEA MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE 2025

    May 20, 2025
  • RC CHACHA AZINDUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA MKOA WA TABORA, ATOA WITO WA KULINDA NDOTO ZA WATOTO.

    May 19, 2025
  • TABORA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA FAMILIA KWA KUTOA WITO WA MALEZI BORA NA KUPINGA UKATILI.

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa