Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian, ameshiriki kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kinachofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Afya Kitete leo Disemba 15, 2023, kika ambacho hufanyika mara kwa kila mwaka.
Viongozi mbalimbali wameshiriki kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kinachofanyika katika ukumbi wa Chuo Cha Afya Kitete leo.
Wataalamu kutoka idara na taasisi mbalimbali za kiserikali wakiwa kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kinachofanyika katika ukumbi wa Chuo Cha Afya Kitete leo
Baadhi ya viongozi wa dini kutoka katika madhehebu mbalimbali wameshiriki kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kinachofanyika katika ukumbi wa Chuo Cha Afya Kitete leo
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa akitoa salamu kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kinachofanyika katika ukumbi wa Chuo Cha Afya Kitete leo
Kwa niaba ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa (MCC), Ndugu Hassan Wakasuvi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kupitia Mkoa wa Tabora Mohamed Nassoro Hamdan akitoa salamu za Chama cha Mapinduzi kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kinachofanyika katika ukumbi wa Chuo Cha Afya Kitete leo Disemba 15, 2023.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akihutubia kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kinachofanyika katika ukumbi wa Chuo Cha Afya Kitete leo Disemba 15, 2023.
Tabora
S.L.P: 25 Tabora
Simu: 026 2604058
Mobile:
Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz
Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa