• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Nukushi ya malalamiko |
TABORA REGION ADMINISTRATIVE SECRETARY

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
  • Utawala
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Biashara
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Mawasiliano
    • Muundo
  • Wilaya
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Wilaya ya Urambo
    • Wilaya ya Igunga
    • Wilaya ya Uyui
    • Wilaya ya Kaliua
    • Wilaya ya Sikonge
    • Wilaya ya Nzega
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Tabora
    • Halmashauri ya Manispaa ya Tabora
    • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
    • Halmashauri ya Wilaya Urambo
    • Halmashauri ya Mji wa Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
    • Halmashauri ya Wilaya Sikonge
  • Fursa za Uwekezaji
    • Miombo Project
      • Miradi iliyokamilika
      • Miradi inayoendelea
    • Kilimo
      • Miombo Project
        • Miradi iliyokamilika
        • Miradi inayoendelea
    • Mifugo
    • Opportunity services
    • Viwanda na Biashara
      • New menu item
    • Madini
    • Uvuvi
    • EQUIP-TANZANIA
    • FURSA ZA UWEKEZAJI
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Tafiti
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MATUKIO KATIKA PICHA: UZINDUZI WA OFISI ZA TIRA KANDA YA MAGHARIBI

Posted on: December 2nd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian ameshiriki katika hafla ya uzinduzi wa ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Kanda ya Magharibi iliyofanyika katika Ofisi za TUWASA, Manispaa ya Tabora, Disemba 2, 2023.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akiwasili kwenye ofisi za TUWASA zilizopo Manispaa ya Tabora kwa ajili ya kushiriki kwenye hafla ya uzinduzi wa ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Kanda ya Magharibi, Disemba 2, 2023

Baadhi ya wananchi na wadau wa Bima wameshiriki kwenye hafla ya uzinduzi ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Kanda ya Magharibi, Disemba 2, 2023.

Meneja wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Kanda ya Magharibi Dkt. Emmanuel Lupilya akifanya zoezi la utambulisho kwa wageni waliohudhuria kwenye hafla ya uzinduzi ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Kanda ya Magharibi, Disemba 2, 2023.

Kamishina wa Bima Dkt. Baghayo Saqware akitoa ufafanuzi wa kina kuhusiana na masuala ya Bima na majukumu ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian  kutoa hotuba yake kwenye hafla ya uzinduzi ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Kanda ya Magharibi, Disemba 2, 2023.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akihutubia mamia ya wananchi waliohudburia hafla ya uzinduzi ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Kanda ya Magharibi, Disemba 2, 2023.

Baadhi ya wananchi na wadau wa Bima wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian aliyoitoa kwenye hafla ya uzinduzi ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Kanda ya Magharibi, Disemba 2, 2023.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akikata utepe kuashiria kuwa, zoezi la uzinduzi wa ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Kanda ya Magharibi umekamilika, Disemba 2, 2023.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian akiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima mara baada ya zoezi la uzinduzi wa ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Kanda ya Magharibi kukamilika, Disemba 2, 2023.

Naibu Kamishina wa Bima Bi Khadija Said akitoa neno la shukrani mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kuhutubia mamia ya wananchi waliohudhuria kwenye hafla ya uzinduzi ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Kanda ya Magharibi, Disemba 2, 2023.


Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2024 December 18, 2023
  • SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE MACHI 8 March 07, 2024
  • BEI ELEKEZI YA MBOLEA YA CAN KWA KAMPUNI YA YARA June 15, 2022
  • KALENDA YA UTEKELEZAJI WA MITAALA YA ELIMU TANZANIA BARA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. CHACHA AIPONGEZA TIMU YA UMISSETA MKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA TATU KITAIFA

    July 01, 2025
  • RC. CHA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA, WAAHIDI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA UADILIFU.

    July 01, 2025
  • TABORA: MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA NA MAADILI YA NCHI

    June 26, 2025
  • MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YAENDESHA MAFUNZO MAALUM YA MATUMIZI YA MFUMO WA PEPMIS KWA WATUMISHI WA UMMA MKOA WA TABORA

    June 23, 2025
  • Angalia zote

Video

VIJANA WAKAA MEZA MOJA NA RC MKOA WA TABORA
video nyingine

Viungio vya Haraka

  • Maelezo na fomu ya ahadi ya uadilifu kwa watumishi wa umma
  • Guidelines for the use of ICT in government
  • Agriculture
  • MALALAMIKO,PONGEZI NA MAONI INGIA HAPA
  • Bofya hapa Eoffice

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Ofisi ya Rais-Tamisemi
  • Ofisi ya Rais-Utumishi
  • SALARYSLIP
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Tabora

    S.L.P: 25 Tabora

    Simu: 026 2604058

    Mobile:

    Barua Pepe: ras.tabora@tamisemi.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Service
    • owner

Haki Miliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora .Haki zote zimehifadhiwa